ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

Vitendo vilivyotokea havina uzito wa kuingiliwa na mahakama za kimataifa - ni migogoro midogo iwezayo kumalizwa na mahakama za ndani ya nchi
Ndicho kitakachotokea ila watu watatoa povu na kujipa false hopes. Watu ‘wamegoma’ kuandamana na hapa hakuna ICC wala ‘beberu’ yeyote atakayekuja kutusaidia.

Uchaguzi huwa haurudiwi kirahisirahisi, tena pale ruling party wanapopora na kujipatia ushindi wa 85% then watu wakamute na kuendelea na maisha yao confortably as if hakuna kilichotokea.

Hapa kilichobaki ni kujipanga tu kwa 2025 na CHADEMA/Wapinzani wote inabidi kucheza karata vizuri ili story isiwe ileile tokea mwaka 1995.

Strategies zilezile (mbovu) zitaendelea kuleta matokeo yaleyale (mabovu).
 
Kuna watz wanafikiri kwa kupeleka documents zao huko ICC basi ndiyo Tanzania itafunguliwa kesi na viongozi kushitakiwa hilo naomba mlisahau kabisa maana vigezo vya mashitaka kufunguliwa havipo kabisa

Nashukuru ICC wamewajibu kupokea hizo nyaraka mlizotuma ili kuwatia moyo na kupunguza kelele nchini

Ngoja tujipange kujenga nchi na kufanya Tanzania kufika viwango vikubwa kiuchumu zaidi ya viwango vya Sasa.

Watz wamepiga kura kwa usalama kabisa na hakuna kibaya kilichotokea na Kama Kuna yoyote ambaye alipambana na vyombo vya dola ni wale ambao walizuia vyombo vya dola kufanya kazi yake kwa mujibu wa sheria.

Nawashauri watz kujipanga kwa uchaguzi wa 2025 Ila uchuguzi wa 2020 huu umeshamalizika na matokeo yake kila mmoja anaujua 84%
Nakuonea huruma sana ila tambua tu, kwa ushahidi uliokusanywa na ulivyo wa uhakika Magufuli, Diwani Athumani, SIMON Sirro, Venance Mabeyo, Heri James, Bashiru Ally ni watuhumiwa watarajiwa wa ICC.
 
Humu ndani huzioni mahakama zilivyojaa makada wa ccm na wakweze JPM?
Vitendo vilivyotokea havina uzito wa kuingiliwa na mahakama za kimataifa - ni migogoro midogo iwezayo kumalizwa na mahakama za ndani ya nchi
 
Huu upuuzi unaofanywa na serekali ya TZ inawezekana bongo tuu, ingekuwa Liberia, Nigeria, Cameroo n.k Sasa ivi tungeshaona wanaume wakitema cheche!Wabongo ni lege lege sana kama alivyosema Alhaj Kikwete mara moja...
Sisi tupo very active kwenye mitandao ya kijamii. Watu wanahamasisha maandamano huku wao wakiwa wamekaa sitting room zao wakigonga mvinyo.

Sasa hivi tunataka kugoma kuingia Bungeni harafu tunahamia kwenye social media kutoa vilio vyetu. It won’t work!
 
Hii inaonyesha wazi kuwa vyombo vya dola haviaminiki Tanzania?..

Vyombo vya usalama vimeegemea upande mmoja,upande wa Chama tawala,.
Watimize watie ushirikiano, then swala lisiposhughulukiwa ndo walalamike.
 
Mashtaka hamjapeleka mahakama za ndani yakashindwa kushughulikiwa mnadhani ICC wanawasaidiaje hapa!

Dadek kukosa ile miposho ya bungeni sio mchezo, time hii mtaenda kwa kila mganga mnaeweza kumfikia
Mshahara wa dhambi huwa ni aibu.. kweli majuto ni mjukuu.
 
Kwa iyo kuvunjwa kwa demokrasia uko USA kunajustify hata apa kuvunjwa demokrasia ni sawa tu??
Hakuna demokrasia isiyo na mipaka dogo hapa duniani!! Hapa USA ambako wameanza kupratise demokrasi miaka mingi lakini bado wanalalamika tu. Trump na group lake baada ya kushindwa naye analalamika kuwa hakuna demokrasia kwenye uchaguzi uliyopita!
 
Mlihangaika hivihivi na uchaguzi mkashindwa, mkahangaika tena hivihivi kuingiza watu barabarani mkashindwa sasa endeleeni kuhangaika na II
Mlihangaika hivihivi na uchaguzi mkashindwa, mkahangaika tena hivihivi kuingiza watu barabarani mkashindwa sasa endeleeni kuhangaika na ICC
Mama D tubet, uchaguzi urudiwe wa huru na haki kwa sharti moja tu wagombea wapige kampeni ya wiki moja tu then tuone, si mnasingiziwa kwamba mlikwiba kura, na wapiga kura si ni walewale, rudisheni ngoma uwanjani ichezwe, kwa nini kuandikia mate na wino upo?
 
Kesi ianze kusikilizwa watakaobainika kuua watu wanyongwe
 
Watanzania tulishakataa, kwanza hatuongozwi kwa viingereza

Itafute katiba yako uone ipo katika lugha gani basically. .... kiswahili ni translations tu.

Technology zote utumiazo in English or Chinese etc

Kujifaraguwa kwa kukwepa ukweli nikichekesho.
 
Mama D tubet,uchaguzi urudiwe wa huru na haki kwa shart moja tu wagombee wapige kampeni ya wiki moja tu then tuone,si mnasingiziwa kwamba mlikwiba kura , na wapiga kura si ni walewale, ludisheni ngoma uanjani ichezwe ,kwa nini kuandikia mate na wino upo,

CCM hata wasipopiga kampeni, hata CCM wasipoweka mawakala, hata mawakala wenu wawe kina amstadam tuu Magufuli anashindaaa tena sio kwa 84% tena sasa itakua kwa 94%

Chadema hadi sasa hamuwajui watanzania. Siku mtakapojua wapiga kura wanataka nini, ndio siku mtayoshinda
 
uhalifu wa kivita,
Ni vita gani imetokea nchini?

Siku atapotezwa ndugu yako utaelewa

Kwa maana mkuki kwa nguruwe ila ukikuingia wewe uliye Mwanadanamu utaelewa.

Kwasasa huwezi kujuwa.
 
Itafute katiba yako uone ipo katika lugha gani basically. .... kiswahili ni translations tu.

Technology zote utumiazo in English or Chinese etc

Kujifaraguwa kwa kukwepa ukweli nikichekesho.

Nyie ndio mnaokomaa kwamba hatujui kiingereza na sisi hatubishani tumekubali mnacholazimisha
Hakuna haja ya kuandikia mate na wino upo... Mambo mengine tutakutana field
 
Watimize watie ushirikiano, then swala lisiposhughulukiwa ndo walalamike.
Mmmh, Waafrika chini ya Jangwa la Sahara tuna matatizo Sana..

Mkuu kweli unayoyasema Una uhakika nayo au unayasema kutokana na MAPENZI na HISIA zako za Chama na Serikali?!

Sio zamani karibu na Uchaguzi,Yule dada HALIMA MDEE alikwenda Polisi kuwa anafatiliwa na watu asiowajua Nyumbani kwake

Kilichofatia ni yeye kukamatwa na kupekwa na Nyumba kwake KUSACHIWA na mambo mwengine ya KUMDHALILISHA

Mkuu, Nchi za Sahara chini ya jangwa la Sahara, TRUMP alizibatiza jina la SHIT HOLE COUNTRIES

Watu wengine wanatuita binaadamu tuliokuwa hatujakamilika, SUB HUMAN BEING

Wengine wanatuita MANYANI, Hakuna sehemu Mwafrika mweusi anapothaminiwa,tunadharauliwa kila kona ya Dunia.

Kwasababu ya Haya tunayofanyiana,hatupendani,tunauwana,Kwa ufupi wako sawa kutudharau, kwasababu sisi Wenyewe hatujipendi
 
CCM hata wasipopiga kampeni, hata CCM wasipoweka mawakala, hata mawakala wenu wawe kina amstadam tuu Magufuli anashindaaa tena sio kwa 84% tena sasa itakua kwa 94%

Chadema hadi sasa hamuwajui watanzania. Siku mtakapojua wapiga kura wanataka nini, ndio siku mtayoshinda
Jambo jema aya hata Mimi ningependa JPM ashinde kwa asilimia zaidi ya mia Sasa ITISHENI uchaguzi ili wakomeshwe wanaowasingizia Mara oh mlikwiba, twendeni kwenye uchaguzi wa marudio mkuu mama D.
 
Utasubiri Sana brother, nenda kasome vizuri jurisdiction ya hiyo Mahakama and under what curcumstances inaweza ku assume Majukumuu ambayo kimsingi yanapaswa kushughulikiwa na Nchi huska. By the way, hizi ni porojo na Namna ya kujicomfort baada ya kipigo cha Mbwa Koko.
Vitu vingine viko wazi. Take your time, Isomeke hiyo Mahakama, Soma crimes it has jurisdiction to try and kwa Mazingira gani inaweza ku intervene.
Mwisho kabisa, hii Mahakama imeshapoteza Credibility siku nyingi Sana, it is more or less like other Imperialism Machinery and every one's knows that!
Otherwise, endeleni kujifafiji Kama Kawaida yenu!
Political persecution itawapoteza MaCCM ...haina tofauti na Apertheid
 
Kuna wajinga humu wanadanganyana hiyo mahakama haiwezi kuwashughulikia watesi wetu, waacheni waendelee kudanganyana.

Wajue fika watapandishwa kizimbani hata kama ni baada ya miaka kumi, kuwa kwao madarakani sasa hivi kusiwadanganye, hiyo siku yaja, watavuna walichopanda.

Neno "Communication" kwa wale msiojua linamaanisha Hati ya Mashtaka. Hii ni lugha yao kwenye hiyo mahakama.

Msije kudhani linamaanisha mawasiliano.
Wewe kama nani?
 
Jambo jema aya hata Mimi ningependa jpm ashinde kwa asilimia zaidi ya mia Sasa ITISHENI uchaguzi ,ili wakomeshwe wanaowasingizia Mara oh mlikwiba,
Twendeni kwenye uchaguzi wa marudio mkuu mama D,
Uchaguzi umekwisha!
Tunawashukuru kwa kushiriki
Tukutane tena uchaguzi ujao panapo majaliwa
 
Back
Top Bottom