Jmbo la pili, ni kutenganisha uwaziri na ubunge, waziri asiwe mbunge ili bunge liweze kuwa huru kwa kiasi kinacho takiwa!!!Wazo la kupunguza idadi ya wabunge si wazo baya; litaokoa fedha nyingi na labda linaweza kulazimisha mabadiliko ya utendaji wa Bunge hilo. Jambo la kwanza ni kuondoa wabunge wa viti maalum. Hawana wanayemwakilisha ambaye hawakilishwi na mbunge wa jimbo.
Wabunge wa CCM ndo watamalizana wenyewe , alie Mbunge sasa ambae hatapitishwa atafanya hujuma kwa aliepitishwa , hapo ndo CCM itaporomoka kabisaWabunge wapungue tu, maana wako wengi halafu hawafanyi kitu cha maana sana zaidi ya kulamba posho tu na kuunga mkono hoja: Wabunge wachache ni rahisi sana kuwashughulikia, kuanzia kwenye chaguzi.
Ukubwa wa baraza la mawaziri ni eneo lingine muhimu sana kuliangalia. Inafaa kuwa na serikali ndogo yenye mawaziri wasiozidi 20 ili kubana matumizi na kuongeza tija
Kila wilaya au halmashauri ibaki kuwa jimbo naamini itakuwa na tija na kila mtu atakuwa na uwakilishi wa kutosha.Wazo la kupunguza idadi ya wabunge si wazo baya; litaokoa fedha nyingi na labda linaweza kulazimisha mabadiliko ya utendaji wa Bunge hilo. Jambo la kwanza ni kuondoa wabunge wa viti maalum. Hawana wanayemwakilisha ambaye hawakilishwi na mbunge wa jimbo.
Wazo la kupunguza idadi ya wabunge si wazo baya; litaokoa fedha nyingi na labda linaweza kulazimisha mabadiliko ya utendaji wa Bunge hilo. Jambo la kwanza ni kuondoa wabunge wa viti maalum. Hawana wanayemwakilisha ambaye hawakilishwi na mbunge wa jimbo.
Wateule wa Rais haiwezekani kulingana na sheria inayomtaka Wazir shart awe mbunge.nafikiri wangeanza kuwaondoa wabunge wa viti maalum na wale wa kuteuliwa na Rais
sheria inaweza kubadilishwa ili kuendana na mahitaji ya wakati huoW
Wateule wa Rais haiwezekani kulingana na sheria inayomtaka Wazir shart awe mbunge.
Hata waunganishe vipi bado ccm.wananhi wameshaamua kuikataa.Katika kile kinachosemekana kuwa ni mwendelezo wa kuwa na idadi ndogo ya wabunge ,itakayokuwa rahisi kuisimamia , inasemekana kuna jambo lipo jikoni kuja kama pendekeza laku merge majimbo ili idadi ya wabunge ipungue ikibidi bunge liwe na idadi isiyozid wabunge 200.
Kumbuka Kwa Sasa wabunge ni 300+.
Ikumbukwe kuwa Serikal ya awamu ya tano tayari kupitia kamati zake kuu na halimashauri kuu yaan NEC ,imekwisha punguza idadi ya wajumbe Kwa idadi kubwa.
Hii pia itatumika kama jaribio la kuzima wingu Wa wabunge Wa upinzan kwenye uchaguzi mkuu.
Mfano mnyika anaweza jimbo lake likaunganishwa na jimbo lenye ushwishi mkubwa Wa CCM,ili jumla ya Kura zimtoe.
Hapa kutakua na mtego mkubwa sana ,Na majimbo yatakayolengwa ni yaliyo na upinzan mkali
Wakuu wa wilaya waondolewe hawana umuhimu wowote katika nchi hii.Waanze kuwaondoa wanaoitwa "Wabunge wa viti maalum" inamaana wanawakilisha viti maalum au wananchi? Watolewe kwakuwa hakuna wanaowawakilisha.
Pili kusiwepo na wakuu wa wilaya as long as kuna Wabunge, Wakurugenzi watendaji na pia kuna makatibu tawala mkoa na wakuu wa mikoa pia.
Utumiaji mbaya wa pesa za walipa kodi kulipa mishahara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja!Katika kile kinachosemekana kuwa ni mwendelezo wa kuwa na idadi ndogo ya wabunge ,itakayokuwa rahisi kuisimamia , inasemekana kuna jambo lipo jikoni kuja kama pendekeza laku merge majimbo ili idadi ya wabunge ipungue ikibidi bunge liwe na idadi isiyozid wabunge 200.
Kumbuka Kwa Sasa wabunge ni 300+.
Ikumbukwe kuwa Serikal ya awamu ya tano tayari kupitia kamati zake kuu na halimashauri kuu yaan NEC ,imekwisha punguza idadi ya wajumbe Kwa idadi kubwa.
Hii pia itatumika kama jaribio la kuzima wingu Wa wabunge Wa upinzan kwenye uchaguzi mkuu.
Mfano mnyika anaweza jimbo lake likaunganishwa na jimbo lenye ushwishi mkubwa Wa CCM,ili jumla ya Kura zimtoe.
Hapa kutakua na mtego mkubwa sana ,Na majimbo yatakayolengwa ni yaliyo na upinzan mkali
Una pointi kubwa sana, wakaiwa madarakani hawaoni hasara za matendo yao, lakini Mungu ni Mwema Lowasa anayoshwa vikali.Mtandao wa Lowassa ndio ulituletea katiba pendekezwa lkn huyo huyo Lowassa Leo anaitamani katiba ya Warioba! Ni vizuri Magufuli ajifunze.
Sent using Jamii Forums mobile app
kama Hoja ni kuokoa matumizi ya fedha basi siungi mkono, maana mpaka sasa Utawala huu unaongoza kwa kufuja mali.Naunga mkono hoja!
Wabunge wenyewe ni matumbo oriented, si chama tawala wala upinzani, hata wakiwepo wabunge wa kanda, mfano kanda ya kusin mbunge mmoja, kanda ya kaskazin mbunge mmoja, na kanda zingne vilevile, kama kanda ya Kati, kanda ya ziwa, kanda ya magharib, kanda ya pwani etc .
Kwa vile tuko kwenye Sera ya "kuokoa fedha" hapa tutakuwa tumekoa sana!
Wabunge wengi miaka minne wanakaa Dar , wakati majimbo yao hayapo Dar. Halafu mwaka wa mwisho (tano) wanarudi kuwalaghai wananchi ili wapate ubunge, na waende tena Dar!
Maana ya kuwa na mbunge inapotea kabisa .
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazo la kupunguza idadi ya wabunge si wazo baya; litaokoa fedha nyingi na labda linaweza kulazimisha mabadiliko ya utendaji wa Bunge hilo. Jambo la kwanza ni kuondoa wabunge wa viti maalum. Hawana wanayemwakilisha ambaye hawakilishwi na mbunge wa jimbo.
Hata wabunge wa upinzani nao ni matumbo mbele, utaifa nyuma. Wabunge wapunguzwe tu, maana hakuna namna.Wabunge wa CCM ndo watamalizana wenyewe , alie Mbunge sasa ambae hatapitishwa atafanya hujuma kwa aliepitishwa , hapo ndo CCM itaporomoka kabisa