Idadi ya watoto ndani ya ndoa: Nani huamua?

Vizuri mkuu swala la ngoswe humalizwa na ngoswe mwenyewe nini maana yangu wana ndoa ndio wenye majukumu ya kupanga kipi kiwe na kipi kisiwe hivyo kuhusu kuzaa au jambo la watoto wote wanapaswa kujadiliana ndani ya ndoa na kukubaliana kulingana na uchumi mlio nao.
 
Kama mama kaamua, huna jinsi....utapatikana tu!!!
 
Suala la kupanga uzazi huamuliwa na wanandoa wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…