NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
itapendeza saaaaanaBunge limefanya mabadiliko madogo ya sheria ya idara ya Uhamiaji ambapo sasa litakuwa ni jeshi kamili litakalowajibika moja kwa moja kwa Amiri Jeshi Mkuu
Waziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene amesema mabadiliko hayo yanalenga kuongeza nidhamu kwa idara ya Uhamiaji ambapo sasa litajiendesha kwa Amri.
Source: ITV habari
Kwa jeiwiii miuu una wasingizia.Wanaongeza tu idadi ya watu wa kutuchapa kwenye mabaa,polisi,jw,magrz wote hawa wanatunyanyasa mitaani
Hakika!itapendeza saaaaana
Hata Polisi kuendesha kesi ni kwasababu DPP hajawa na watu wa kutosha tuKwahiyo likiwa jeshi alafu? Uliwahi kusikia Magereza wanaendesha kesi zao wenyewe zaidi? Yaani wakamate, wapeleleze kesi n.k?
Issue ya kukamata kila mtu ana uwezo wa kukamata, hata raia wa kawaida amepewa power ya kukamata mhalifu
Green guardJW
TISS
POLICE
PRISON
IMMIGRATION
FIRE
.....
....
...
....
hawatambuliki kama jeshiGreen guard, red brigade, ....
hawatambuliki kama jeshi
takukuru si jeshi. ni taasis ya kiraia inayopambana na rushwa.Takokuru je?
Naanza kuwa na wasiwasi kuna siku haya majeshi yatatwangana risasi. Tumekwisha ona JWTZ na polisi kurushiana risasi maslahi yao yanapogongana sembuse hawa Uhamiaji na polisi!Kama jeshi la polisi ambalo linawajibika kwa Rais halina nidhamu unadhani hiyo idara ya uhamiaji kwa kufanywa jeshi kamili na kuwajibika kwa Rais ndiyo itaongeza nidhamu!?
hizo conflict zipo ila ni ndogo sana sana. na kuna taratibu za kijeshi za kumaliza hizo kesi. ndio maana huzisikii sana. wenyewe kwa wenyewe wana taratib za kumaliza hizo ishuNaanza kuwa na wasiwasi kuna siku haya majeshi yatatwangana risasi. Timekwisha ona JWTZ na polisi kurushiana risasi maslahi yao yanapogongana sembuse hawa Uhamiaji na polisi!
TAKUKURU wanapeleleza na kushitaki wenyeweKwahiyo likiwa jeshi alafu? Uliwahi kusikia Magereza wanaendesha kesi zao wenyewe zaidi? Yaani wakamate, wapeleleze kesi n.k?
Issue ya kukamata kila mtu ana uwezo wa kukamata, hata raia wa kawaida amepewa power ya kukamata mhalifu
TANAPAJW
TISS
POLICE
PRISON
IMMIGRATION
FIRE
.....
....
...
....
Sasa ndiyo zinaongezwa!hizo conflict zipo ila ni ndogo sana sana. na kuna taratibu za kijeshi za kumaliza hizo kesi. ndio maana huzisikii sana. wenyewe kwa wenyewe wana taratib za kumaliza hizo ishu
Waziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene amesema mabadiliko hayo yanalenga kuongeza nidhamu kwa idara ya Uhamiaji ambapo sasa litajiendesha kwa Amri.
Source: ITV habari