dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
R&D ya Nyuklia ikiisha tu, target ya kwanza kuwa levelled ni Tel AvivKatika lipi kaka tufafanulie ila mada tunazungumzia ubora wa majeshi katika viwanja vya mapambano na ubora wa mashirika ya kijasusi!!!Unaweza kutuletea ubora wa jeshi la ulinzi la iran na combat na military assignment walizocover kwa mafanikio makubwa duniani!!!Tutajie hata tano tuendeleze mjadala ndugu yangu @ Dronedrake
Baada ya ila saga ya kuuwawa kizembe na Hitler ndiyo wakaapa kuwa never again,watajilinda kwa kila hali kuepuka kutokea mauaji Kama yale ya wakati wa utawala wa NaziWanapewa msaada na US hakuna Cha zaidi ya hapo. Wangekua na ability hiyo mnayoisema hapa wasingechinjwa kiasi kile na Hitler
Ila kuna mmoja alikamatwa nadhani Cohen na yule wa kike alifungwa maisha ila baadae walibadilishana nae kama mateka wa kivita!!!MOSSAD wapo vizuriNdani ya serikali ya Syria mOSSAD walipandikiza mamluki wao (wakimlea kuanzia Argentina, German) kisha akaja kuwamalizia Damascus.
Ebu tuadithie kidogo kaka kuhusu hili na sisi tuchangie!!!Ni nani huyo????Ndani ya serikali ya Syria mOSSAD walipandikiza mamluki wao (wakimlea kuanzia Argentina, German) kisha akaja kuwamalizia Damascus.
IDF-israel defense Force,mossad- ndiyo Tiss ya Israel [emoji1787][emoji1787][emoji1787]IDF ni jeshi la nchi gani?
Mossad ni majasusi wa nchi gani?
But military outcome show itOverated...
Kaka weka ushabiki pembeni tuzungumze military issues hapa kiuchambuzi kama wasomi!!!Kama maafisa wa Mossad kila siku wapo Riyadh kukutana na MBS au wapo Algeria kukutana counter part wenzao kwenye mambo ya kijasusi unategemea nini kaka!!!Mimi ni mchambuzi wa mambo ya kijeshi sio shabiki wa mambo ya kisiasa au udini au kimtazamo kakaIran wewe jamaa utakuwa kichaa
USSR
Sasa kaka wakati wa hitler mossad ilikuepo????Wanapewa msaada na US hakuna Cha zaidi ya hapo. Wangekua na ability hiyo mnayoisema hapa wasingechinjwa kiasi kile na Hitler
Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel anaitwa nani?Ndani ya serikali ya Syria mOSSAD walipandikiza mamluki wao (wakimlea kuanzia Argentina, German) kisha akaja kuwamalizia Damascus.
Umeanza kuingiza takataka za mrengoR&D ya Nyuklia ikiisha tu, target ya kwanza kuwa levelled ni Tel Aviv
kaeni chonjo Jews wa Homboza
Nitauleta kaka uzi kumuhusu Jonathan ntenyahu!!safi sana
Upo sahii kakaKaz kaz hao
Ukimuona tu chief wa mossad unajuwa hapa kuna mtu wa kazi
Siyo mChief wengine matumbo makubwa kukimbia tu shida
Ova
Tunazungumzia IDF na Mossad sio Bin Laden na CIA kakaWakati bin Laden alishusha majengo katikati ya marekani
Leo tunazungumzia Mossad kaka na IDFCIA vipi hawapo? Wale WA zee WA Yuesiay waje watetee
KaribuNitarud apa
Hakuna kitu kama hicho wanachukuianq kuliko unavyodhania nishawahi kuwa huko juu sikuwahi jua kama hizo Nchi zina chuki kiasi hicho baina yao na usipojua hiyo mambo utaandika chochote tuu...mwaka jana tuu truck la Algeria lilipigwa Bomu lilikua linaenda kwenye ile Nchi ambayo wao wanaisapoti nadereva wa Algeria huwa wanatekwa harafu unakuja kuongea sijui underground project hizi hadithi simulianeni huko huko...We talk about underground projects za ujasusi Mossad wanashirikiana na mashirika ya kijasusi ya Morroco na Algeria na wanawafundisha makachero wa nchi zote mbili jinsi ya kupambana na wapinzani wao kisiasa ndani na nje ya nchi zao hasa wale wenye siasa kali wanaotaka kuchukua madaraka!!!Tofautisha kati ya siasa za majukwaani na kwenye television na underground project,s za mashirika ya kijasusi ya nchi husika!!!
Wapo wengi tu kaka ingia katika uzi uoneKwani kuna Mpuuzi yoyote alikuwa analikataa au analibishia kabisa hili?
Wauaji tu hao. Ni sawa na manazi wa ujerumani. Wameiga kila mbinu za waliyokua watesi wao.Katika medani za kivita IDF ndio jeshi bora zaidi kwa record za kukacover military missions duniani akiwa na washirika wake na katika kitengo cha ujasusi Mossad ndio wanaongoza positive plus katika mission zaidi ya 1000 akiwa na washirika wake!!!Mataifa mengine yanafeli wapi????
Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel anaitwa nani?