IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

Israel ni wachache sana, ila Sasa , Fikiria opereshen zao za kijasusi ni Dunia nzima
Kwani unafikiri wanaofanya operation za kijasusi duniani lazima awe raia wa nchi husika mpk unasema wapo wa chache asilimia kubwa wanaofanya upelelezi ni watu wa dizaini km ya kwako ambao unahisi israel taifa tukufu kwahyo upo tayari kuilinda kwa lolote kwa kuamini utabarikiwa na mungu kumbe uongo mtupu sasa km ww hvyo unavyoipenda israel halafu uwe soldier tpdf,siku inapangwa tpdf iishambalie israel lazima utasaliti nchi yako utapeleka taarifa tukio likizuiwa credit inapata mossad kuwa wamefanikiwa kugundua tukio kabla halijatokea kumbe kuna mlokole mmoja kasaliti nchi.
 
Mimi ndio nimefungua uzi mzee wangu kama mtaalamu wa medani za kivita uwanja wa mapambano!!!Sio kwa nadharia bali vitendo!!!Mada ikiwa kuzungumzia ubora wa IDF kwenye uwanja wa mapambano!!!!Mambo ya siasa au udini hayana nafasi hapa!!!!Karibu sana
 
Sasa mnatoka nje ya mada wadogo zangu!!!Afu lugha za matusi za nini????
 
Hii chai ndugu yangu yaani unapgwa risasi za mgongoni lakini anaendelea kusaidia majeruhi kuingia kwenye ndege,risasi hainaga ukomandoo ikishaingia mwilini lazima upoteze
 
Mimi ndio nimefungua uzi mzee wangu kama mtaalamu wa medani za kivita uwanja wa mapambano!!!Sio kwa nadharia bali vitendo!!!Mada ikiwa kuzungumzia ubora wa IDF kwenye uwanja wa mapambano!!!!Mambo ya siasa au udini hayana nafasi hapa!!!!Karibu sana
Nelson...
Mbona naona tayari hapa Uislam umeshambuliwa kwa kuitwa, "Wavaa Kobazi?"

Mbona hapa naona Uyahudi umetamalaki?

Mbona hukutoa kauli yoyote?

Ikiwa hupendi kuona Uislam kwenye uzi wako si kitu.

Sitachangia chochote kwani kwangu kufanya hivyo ndiyo ustaarabu na uungwana.
 
Basi hao MOssad wapelekwe Ukraine wasaidie.
Sijui ni nani aliyewaaminisha watu kuwa Israel yupo vizuri sijui ni hayo mavitabu ya dini.
 
Hii chai ndugu yangu yaani unapgwa risasi za mgongoni lakini anaendelea kusaidia majeruhi kuingia kwenye ndege,risasi hainaga ukomandoo ikishaingia mwilini lazima upoteze
Sasa ndio mdogo wangu nikakuambia sio lazima uchangie tuachie sisi wachambuzi tuendeelee!!!Sawa mdogo wangu
 
Wenzako hao?? HAWA NDIO WATEULE WA MUNGU ??

Nimetoa angalizo toka mwanzo kua kama wewe sio mchambuzi wa kijeshi hii mada haikuhusu sababu hakuna udini au siasa!!Nakuomba radhi mzee wangu kwa niaba yao""Wasamehe""
 
Hapa nazungumza kama mchambuzi wa medani za kijeshi na vita uwanja wa mapambano na sio mambo ya kidini au siasa nazungimzia uzoefu wangu binafsi uwanja wa mapambano!!!!Kama una lolote la kuchsngia karibu mzee wangu ila mada ni IDF na Mossad
 
Nimetoa angalizo toka mwanzo kua kama wewe sio mchambuzi wa kijeshi hii mada haikuhusu sababu hakuna udini au siasa!!Nakuomba radhi mzee wangu kwa niaba yao""Wasamehe""
Nelson...
Mbona una hofu?
Subiri unisome kwanza.

Mimi nimefika hadi Bar Lev Line Sinai.

Unajua nishapata kukueleza kuwa kuna mambo huwa sipendi kusema kwa kuchunga staha.

Hawajapata hata watu wajuzi kukataa kunihoji au kunisikiliza.
Unawajua hao hapo chini?:

Mahojiano Voice of America (VoA) Washington DC
Nelson,
Unafungua uzi wa Israel halafu hutaki dini wala siasa.
Nami nakupa angalizo.

Hilo halitawezekana.
Uyahudi ni utaifa na dini.

Au ulikuwa hujui?

Nelson...
Mbona una hofu?
Subiri unisome kwanza.

Mimi nimefika hadi Bar Lev Line Sinai.

Unajua nishapata kukueleza kuwa kuna mambo huwa sipendi kusema kwa kuchunga staha.

Hawajapata hata watu wajuzi kukataa kunihoji au kunisikiliza.
Sasa mzee wangu nina hofu nachotaka kusema mada hii haitaki siasa tunazungumzia uzoefu wetu kijeshi!!!!Nikuulize kwanza mzee wangu ushawahi kutumia bunduki au kushiriki vita yoyote???????Kama hujawahi nina wasiwasi utaleta siasa badala ya uchambuzi wa kijeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…