IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

Nelson...
Mbona una hofu?
Subiri unisome kwanza.

Mimi nimefika hadi Bar Lev Line Sinai.

Unajua nishapata kukueleza kuwa kuna mambo huwa sipendi kusema kwa kuchunga staha.

Hawajapata hata watu wajuzi kukataa kunihoji au kunisikiliza.
Sisi wachambuzi wa medani za kivita na wanajeshi hatunaga mda wa kuhoji watu tunaangalia tu ufanisi wa kazi yetu uwanja wa mapambano!!!Siasa na maneno mengi ni mambo ya wanasiasa na wachambuzi wa siasa!!!!Sasa leo mada ni operation za IDF
 
Nimetoa angalizo toka mwanzo kua kama wewe sio mchambuzi wa kijeshi hii mada haikuhusu sababu hakuna udini au siasa!!Nakuomba radhi mzee wangu kwa niaba yao""Wasamehe""
Nelson...
Mbona una hofu?
Subiri unisome kwanza.

Mimi nimefika hadi Bar Lev Line Sinai.

Unajua nishapata kukueleza kuwa kuna mambo huwa sipendi kusema kwa kuchunga staha.

Hawajapata hata watu wajuzi kukataa kunihoji au kunisikiliza.
Nelson...
Hayo si mambo ya kuweka hadharani.
 
Rwanda
 
lazima kuwa bora kwenye ujasusi na kejeshi.sasa mtu unaenda kufundisha mbinu msikitini na kanisani unazani kuna siri hapo zaidi ya kuchunguzwa na unaowafundisha
Hii vita unayotaka anzisha utaiweza?
 
Mna umuhimu gani hadi mpewe hizo pesa?
 
Wanapewa msaada na US hakuna Cha zaidi ya hapo. Wangekua na ability hiyo mnayoisema hapa wasingechinjwa kiasi kile na Hitler
Muda huo hawakuwa nchi na hawakuwa na makazi maalumu.

Kumbuka baada ya kupelekwa Palestine hapo ndo walianza kuonesha maajabu
 
Hapa nazungumza kama mchambuzi wa medani za kijeshi na vita uwanja wa mapambano na sio mambo ya kidini au siasa nazungimzia uzoefu wangu binafsi uwanja wa mapambano!!!!Kama una lolote la kuchsngia karibu mzee wangu ila mada ni IDF na Mossad
Sisi wachambuzi wa medani za kivita na wanajeshi hatunaga mda wa kuhoji watu tunaangalia tu ufanisi wa kazi yetu uwanja wa mapambano!!!Siasa na maneno mengi ni mambo ya wanasiasa na wachambuzi wa siasa!!!!Sasa leo mada ni operation za IDF
Nelson...
Nakuwekea hiyo picha hapo chini kutoka Maktaba yangu.
Picha inasema maneno 1000:

Kitabu cha Schindler kitakupa mateso waliyopitia Wayahudi katika Vita Vya Pili Vya Dunia.
 
Je US military ni ya ngapi kwa ubora?.... kumbuka US hutoa mabillioni ya dola kufadhili ulinzi wa Israel mfano teknolojia ya Iron dome.

T14 Armata HIMARS Sela Son
USA anaongoza kwenye kila kitu kasoro active duty soldiers

Israel anategemea sana pesa za US kufanya tafiti na kuziuza.

Wanasema tafiti nyingi za Kijeshi huanzia Unit 8200
 
Sisi wachambuzi wa medani za kivita na wanajeshi hatunaga mda wa kuhoji watu tunaangalia tu ufanisi wa kazi yetu uwanja wa mapambano!!!Siasa na maneno mengi ni mambo ya wanasiasa na wachambuzi wa siasa!!!!Sasa leo mada ni operation za IDF
Nelson...
Maneno hayo uliyosema Anwar Sadat alimwambia Mohamed Hassanain Heykal alipotaka kumhoji wakati wa Vita Vya Yom Kippur mwaka wa 1973.

Haikal alitoka Cairo kwenda kufanya mahojiano na Sadat akiwa Montaza Palace, Alexandria.

Nimefika Montaza Palace Alexandria:

Montaza Palace, Alexandria​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…