Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Nelson...Mzee wangu fani yetu hatuandiki sana ni watu wa vitendo na codes!!!!Nadhani itakua busara ukijitolea kunifundisha kuandika vizuri mzee wangu sababu naamini hiyo ni fani yako!!
Kozi ya kwanza Chuo Kikuu hata kama ni West Point ni kuandika.
Mimi fani yangu si kuandika.
Kuandika haijapata kuwa fani.