IDF wadai kumuua kamanda wa ngazi ya juu wa Hezbollah Abu Ali

Kikubwa magaidi kina osama, chemical ali, Ayman al zawahir, na taleban waliteketezwa hata hivyo taleban mpya wameacha ugaidi

Ukijua kwanini Osama na Alqaed waliingia kwenye hizo harakati na USA utajua kwanini mpaka leo hiyo organization ipo.

Kasome historia.

Talebani ni Ile Ile na objective yao ni ileile.
 
Ayatolah kawaingiza cha KIKE hawa 😆😆🤣
Israel hajaingia hata 1km huko lebanon,mwezi sasa, makamanda kibao wa israel wanauawa na hizbullah,tusiosubiri wafadhili wa israel watangaze wala hatushtushwi na hizo habari
 
Israel hajaingia hata 1km huko lebanon,mwezi sasa, makamanda kibao wa israel wanauawa na hizbullah,tusiosubiri wafadhili wa israel watangaze wala hatushtushwi na hizo habari
IDF imeongia Lebanon kwa umbali wa KM 20.
 
IDF imeongia Lebanon kwa umbali wa KM 20.
Hahahaaaa,hata wenyewe wakikusikia watashangaa,katoa vikosi vyake jana na juzi kabakiza kimoja,baada ya kujaribu kuingia kila angle na kufeli,akaona atest kupitia khiyam..waapi,hasira kaenda kubomoa majumba kwa ndege
 
Kwanino tu usiulize source badala ya kuja na sarakasi.
 
Uwe unaziwekq hapa ili mjadala unoge usiwe kama yule shehe Adiosamigo ambaye anatumia mihemuko ya kisuna kujibu.
Haaretz wanataka kulifungia wayahudi,ni gazeti lao ila linaandika ukweli sometimes,kuna ahronoth na channel za lebanon za telegram nk
 
Another One ,DJ walete ,mwingine mleteni aelekezwe qibla kabisa.
 
Weka hata link...
Nenda telegram search lebanese news, resistance trench, middle east spectator, zitakuja nyingi, utapata minute per minute update, middle east spectator ni uhakika zaidi hadi CNN wanai-refer
 
Hivi hao magaidi wakiamua kuja Africa tutaweza kupigana nao kweli?
 
Na hapo israel bado wanasubiri hizbullah wathibitishe
 
View: https://x.com/MarinaMedvin/status/1853401772418568669
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…