Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Drone imeshalenga komwe la kiongozi wetu kipenzi huko.🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima mpukutishwe tuAah wapi.
Aluta continua
Je hizbollah imesambaratika na imeacha kufanya kazi!??
Wameteketeza wameuliwa kama kuku walipigwa na kideriJe hizbollah imesambaratika na imeacha kufanya kazi!??
Hujajibu swali langu,je hizbollah imeacha kupigana na kusambaratika!?Wameteketeza wameuliwa kama kuku walipigwa na kideri
Nyoka amekatwa kichwaHujajibu swali langu,je hizbollah imeacha kupigana na kusambaratika!?
Kama inapigwa kwanini askari wa IDF wanakufa kila leo!?Nyoka amekatwa kichwa
Hisbollah inapigwa haipigani
Leo na jana wamekufa wangapi?Kama inapigwa kwanini askari wa IDF wanakufa kila leo!?
Hawa Waislamu bana! Hilo swali kwake ni gumu sana kwa sababu 👇Leo na jana wamekufa wangapi?
Hawezi kukujibu huyo mfuasi wa mudyLeo na jana wamekufa wangapi?
Juzi wamekufa wanne.Leo na jana wamekufa wangapi?
Leta chanzo cha habari au ulihesabu maiti?!Juzi wamekufa wanne.
Hao wanne nani kawaua!?
Ritz njoo umpe kijana habari za vifo vya IDF Lebanon.Leta chanzo cha habari au ulihesabu maiti?!
Unajua nini? Wakati Netanyahu alipoenda US na kumtembelea Trump kule Maralaga Florida wanasema walikubaliana kuwa Netanyahu amalize vita za huko Mashariki ya Kati kabla ya Trump kuapishwa January 2025. Jana Netanyahu ananusa ushindi wa Trump, amemfire waziri wa Ulinzi ambaye amekuwa kukwazo kwa Israel kukamilisha ushindi huko Gaza na Lebanoni. Hivyo Alina Ritz na Maislamists wenu mjue muda wenu wa kujidai umekwisha. Gaza na Lebanon katika kipindi hiki kufikia January mtanyolewa bila maji mpaka muishe kabisa. Mwambie na Bikira wenu wa 72 FaizafoxyHabari mbaya kwa magaidi na colleagues wao Trump kashinda huko Iran lazima abanwe pumb*
Toka Trump awe rais hadi anatoka kitini hakuna sehemu Iran ilififia.Habari mbaya kwa magaidi na colleagues wao Trump kashinda huko Iran lazima abanwe pumb*
Wazee wa kujifariji 🤣🤣Anatoka Mayele anaingia Pacome
Qasim Soleimani aliteketezwa hadi Ayatollah akamwaga machozi 😢 😿 😠safari hii Ayatollah atalambishwa UdongoToka Trump awe rais hadi anatoka kitini hakuna sehemu Iran ilififia.
Tena akiingia yeye huwenda akaifanya Iran kuwa imara zaidi.
Kifo cha Qassem Soleiman kililipizwa kwa Iran kulipua US millitary base Iraq.Qasim Soleimani aliteketezwa hadi Ayatollah akamwaga machozi 😢 😿 😠safari hii Ayatollah atalambishwa Udongo