IDF wadai kumuua kamanda wa ngazi ya juu wa Hezbollah Abu Ali

IDF wadai kumuua kamanda wa ngazi ya juu wa Hezbollah Abu Ali

Unajua nini? Wakati Netanyahu alipoenda US na kumtembelea Trump kule Maralaga Florida wanasema walikubaliana kuwa Netanyahu amalize vita za huko Mashariki ya Kati kabla ya Trump kuapishwa January 2025. Jana Netanyahu ananusa ushindi wa Trump, amemfire waziri wa Ulinzi ambaye amekuwa kukwazo kwa Israel kukamilisha ushindi huko Gaza na Lebanoni. Hivyo Alina Ritz na Maislamists wenu mjue muda wenu wa kujidai umekwisha. Gaza na Lebanon katika kipindi hiki kufikia January mtanyolewa bila maji mpaka muishe kabisa. Mwambie na Bikira wenu wa 72 Faizafoxy
Baada ya Trump kushinda
 
Attachments

  • FB_IMG_1730908750232.jpg
    FB_IMG_1730908750232.jpg
    52.2 KB · Views: 1
Hah
Kifo cha Qassem Soleiman kililipizwa kwa Iran kulipua US millitary base Iraq.
Una lipi lingine!?
Haahahaha acha mzaha eti kilipizwa kuna sungu sungu marekani aliekufa?
 
Hah

Haahahaha acha mzaha eti kilipizwa kuna sungu sungu marekani aliekufa?
Kwanini Trump alitishia kuivamia Iran na kuandaa navy waende Mediterranean sea!?
Je alitishia vile bure!?
Matokeo yake zile battle ships zikakaa tu ukingo wa Mediterranean na hazikufanya kitu.
 
🚨 The IOF withdraws the 252nd Reserve Division, which oversees the "Netzarim" axis, from the central #Gaza Strip after 3 months.
 
Kwanini Trump alitishia kuivamia Iran na kuandaa navy waende Mediterranean sea!?
Je alitishia vile bure!?
Matokeo yake zile battle ships zikakaa tu ukingo wa Mediterranean na hazikufanya kitu.
Nuclear deal ilikufa wakati wa Trump na sasa itazikwa kabisa either Iran wanyooshe ✋ au wapigwe tu maana hamna namna watapigwa tu
 
Nuclear deal ilikufa wakati wa Trump na sasa itazikwa kabisa either Iran wanyooshe ✋ au wapigwe tu maana hamna namna watapigwa tu
Hivi umeshasahau kama wadau wengine wametoa vikwazo vya silaha na nuclear kwa Iran!?
Atakayebaki kukwamisha ni USA peke yake the rest of the world wameamua kumpa uhuru wake Iran.
Imebaki vikwazo vya kiuchumi tu.
 
Walimpa deal lini?? USA 🇺🇸 alijitoa kwenye deal ila yale mataifa mengine 4 hayakujitoa kwa makubaliano ya iran asitengeneze nuclear bomb na waangaliza wa denuclearization bado wanakagua japo iran ina uwezo wa kuunda nuclear warhead now but wanatengeneza ili wampige nani labda?!! Pakistan wana nuclear miaka mingi je wame gain ninj?
 
Back
Top Bottom