IDF wadai kumuua kamanda wa ngazi ya juu wa Hezbollah Abu Ali

Baada ya Trump kushinda
 
Attachments

  • FB_IMG_1730908750232.jpg
    52.2 KB · Views: 1
Hah
Kifo cha Qassem Soleiman kililipizwa kwa Iran kulipua US millitary base Iraq.
Una lipi lingine!?
Haahahaha acha mzaha eti kilipizwa kuna sungu sungu marekani aliekufa?
 
Kwanini Trump alitishia kuivamia Iran na kuandaa navy waende Mediterranean sea!?
Je alitishia vile bure!?
Matokeo yake zile battle ships zikakaa tu ukingo wa Mediterranean na hazikufanya kitu.
 
🚨 The IOF withdraws the 252nd Reserve Division, which oversees the "Netzarim" axis, from the central #Gaza Strip after 3 months.
 
Nuclear deal ilikufa wakati wa Trump na sasa itazikwa kabisa either Iran wanyooshe ✋ au wapigwe tu maana hamna namna watapigwa tu
 
IOF ni wadudu gani??
 
Nuclear deal ilikufa wakati wa Trump na sasa itazikwa kabisa either Iran wanyooshe ✋ au wapigwe tu maana hamna namna watapigwa tu
Hivi umeshasahau kama wadau wengine wametoa vikwazo vya silaha na nuclear kwa Iran!?
Atakayebaki kukwamisha ni USA peke yake the rest of the world wameamua kumpa uhuru wake Iran.
Imebaki vikwazo vya kiuchumi tu.
 
Walimpa deal lini?? USA 🇺🇸 alijitoa kwenye deal ila yale mataifa mengine 4 hayakujitoa kwa makubaliano ya iran asitengeneze nuclear bomb na waangaliza wa denuclearization bado wanakagua japo iran ina uwezo wa kuunda nuclear warhead now but wanatengeneza ili wampige nani labda?!! Pakistan wana nuclear miaka mingi je wame gain ninj?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…