Idris Sultan afikishwa katika Mahakama ya Kisutu. Ashtakiwa kwa kumiliki laini ya simu isiyo na jina lake. Aachiwa kwa dhamana

Idris Sultan afikishwa katika Mahakama ya Kisutu. Ashtakiwa kwa kumiliki laini ya simu isiyo na jina lake. Aachiwa kwa dhamana

kwanza nataka kujua idris ni msanii au mwana HARAKATI wa mabadiliko?
Huyo ni msanii wa vichekesho alichokosea Ni kuvuka mipaka kwenye uchekeshaji wake kwa kuzani watu watacheza kwa kutengeneza picha ya Magufuli kwenye muonekano wa mwanamziki
 
Suti kama ile ningegaragara kabisa hata kwq baba mzazi, na zipo mbona majumbani huwa tunazicheka saanaa, ni comedy tosha

Ila wametusaidia sana kipindi hiki cha Corona there were a lot to distract us from the situation
Picha ikiwa nyumbani haina shida huo utakuwa ni utani ndani ya familia, mimi naongelea picha imepostiwa instagram kwa mfano picha ya baba yako akiwa amevaa mavazi yaliyochakaa then watu wanatoa comments za kejeli kwa hiyo na wewe utajiunga nao kutoa comments za kukejeli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atachekeshaga kwenye platform gani sijaona vichekesho vyake.
Najua tu alikuwa mshindi wa big brother africa miaka ya nyuma.
 
Anaweza akakana kwamba hakujua kama yule ndio huyuhuyu John Pombe Joseph wa sasa

Anaweza akasema alikuwa anasmile kwa furaha baada ya kuona lile koti XXXXXXXL na kujiuliza vijana wa sasa wanawezaje kujibana na “slim fit”😎

Bahati nzuri ile clip haikuwa na maneno wala caption yoyote!
Fundi wa lile koti hakuwa mbahili wa kitambaa wala hakumuibia mteja wake. Alitumia kitambaa chote kihalali.
 
Wamuachie mtoto wa watu. Mtu maarufu ukifanya kitu cha kuchekesha kitachekwa tu
Sema jamaa Hana kipaji Cha kuchekesha mbona Kuna wengine hawatumii njia Kama ya idris na watu wanacheka ajifunze kwa Jambo na Vijambo au kwa cheka tu
 
Avune alichopanda. Huwezi kufanya dhihaka kwa Mkuu wa Nchi kiasi kile

Angejaribu kuwadhihaki wazazi wake kwanza
Unaelewa maana ya Dhihaka wewe.........Kakojoe ukalale huelewi ata haki za msingi za binadamu, nikusaidie........ tuna life, liberty and pursuit of happiness. Niambie kosa lake jamaa liko wapi..... nenda youtube mtafute Travor Noah nadhan utaelewa.
 
Huyo amefanya makosa Mkuu

Kuna raisi kaoneshwa dole la kati,na maisha yanaendelea sembuse yeye kuchekwa tu ni ushamba na uboya aliokuwa nao jiwe.
 
Usifananishe Tanzania na Nchi za wajinga wasio kuwa na maadili
Kuna raisi kaoneshwa dole la kati,na maisha yanaendelea sembuse yeye kuchekwa tu ni ushamba na uboya aliokuwa nao jiwe.
 
Sultani Alifanya Dhihaka.
Kwanza tambueni Raisi JP Magufuli, ni Raisi halari wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Hivyo anastahili kuheshimiwa na kila raia wa nchi hii, bila kujali ulimpigia kura au la.

Idrisa kama Msanii anayetazamwa na watu wengi Aliidhihaki Picha ya Raisi na Watanzania wengi waliiona video clip yake.
Je kama msanii ile video ililenga kufanya nini ktk jamii yetu.

Idrisa anastahili adhabu kali ili iwe fundisho kwake na kwa wengine.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kufurahisha jamii.....that's all, hakuna kosa hapo.
 
Hivi wewe ukiona picha ya baba yako wakati yuko sekondari unaweza kuicheka kama alivyofanya IS?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
_20200527_133316.JPG
 
Avune alichopanda. Huwezi kufanya dhihaka kwa Mkuu wa Nchi kiasi kile

Angejaribu kuwadhihaki wazazi wake kwanza
Idirisa ni mdhalilishaji na mkosaji wa adabu.

Yeye hachekeshi bali anacheka watu.

Ili uwe mcjekeshaji lazima uwachekeshe watu,sio unacheka wewe alafu ujiite mchekeahaji,wewe ni mchekaji.

Bado tunaona ukosefu wa adabu kwa bwana idirisa sulutani kwa sababu mzee magufuli anaweza kumzaa huyu dogo lakini je ni kuoi kinamfanya afanye vile kwa mtu mwenye umri sawa na baba yake.?

Mbona akina mc madevu wanachekesha vizuri tu lakini hawakamatwi na kuonwkana hivi,akina joti wanachekesha vizuri hawakwazani na mtu.

Huyu tu hajui.

Kuna watu wa dizaini hii wapo,si ushawahi kusoma shule alafu kuna mtu darasani ana tabia ya kusema sema tu yaani mfano kuna jamaa ana kichwa kkubwa yeye anaweza kuamtania "daah mjamaa unakichwa kikubwa saanaa" alafu watu waafnacheka ile hahahah..ndo idirisa sasa.

Namuomba Mungu kama akitoka basi iwe amejifunza asirudie huu uouuzi hata kwa watu wengine,na kama hajajifunza basi asitokee kwanza atulie huko huko anyimwe uhuru.
 
Back
Top Bottom