Huyo ni msanii wa vichekesho alichokosea Ni kuvuka mipaka kwenye uchekeshaji wake kwa kuzani watu watacheza kwa kutengeneza picha ya Magufuli kwenye muonekano wa mwanamzikikwanza nataka kujua idris ni msanii au mwana HARAKATI wa mabadiliko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni msanii wa vichekesho alichokosea Ni kuvuka mipaka kwenye uchekeshaji wake kwa kuzani watu watacheza kwa kutengeneza picha ya Magufuli kwenye muonekano wa mwanamzikikwanza nataka kujua idris ni msanii au mwana HARAKATI wa mabadiliko?
Picha ikiwa nyumbani haina shida huo utakuwa ni utani ndani ya familia, mimi naongelea picha imepostiwa instagram kwa mfano picha ya baba yako akiwa amevaa mavazi yaliyochakaa then watu wanatoa comments za kejeli kwa hiyo na wewe utajiunga nao kutoa comments za kukejeli?Suti kama ile ningegaragara kabisa hata kwq baba mzazi, na zipo mbona majumbani huwa tunazicheka saanaa, ni comedy tosha
Ila wametusaidia sana kipindi hiki cha Corona there were a lot to distract us from the situation
Fundi wa lile koti hakuwa mbahili wa kitambaa wala hakumuibia mteja wake. Alitumia kitambaa chote kihalali.Anaweza akakana kwamba hakujua kama yule ndio huyuhuyu John Pombe Joseph wa sasa
Anaweza akasema alikuwa anasmile kwa furaha baada ya kuona lile koti XXXXXXXL na kujiuliza vijana wa sasa wanawezaje kujibana na “slim fit”😎
Bahati nzuri ile clip haikuwa na maneno wala caption yoyote!
Sema jamaa Hana kipaji Cha kuchekesha mbona Kuna wengine hawatumii njia Kama ya idris na watu wanacheka ajifunze kwa Jambo na Vijambo au kwa cheka tuWamuachie mtoto wa watu. Mtu maarufu ukifanya kitu cha kuchekesha kitachekwa tu
Anachekesha InstagramAtachekeshaga kwenye platform gani sijaona vichekesho vyake.
Najua tu alikuwa mshindi wa big brother africa miaka ya nyuma.
Mungu wa miungu bwana wa mabwana alfa na omega nani kama yeye?Hivi wewe ukiona picha ya baba yako wakati yuko sekondari unaweza kuicheka kama alivyofanya IS?
Unaelewa maana ya Dhihaka wewe.........Kakojoe ukalale huelewi ata haki za msingi za binadamu, nikusaidie........ tuna life, liberty and pursuit of happiness. Niambie kosa lake jamaa liko wapi..... nenda youtube mtafute Travor Noah nadhan utaelewa.Avune alichopanda. Huwezi kufanya dhihaka kwa Mkuu wa Nchi kiasi kile
Angejaribu kuwadhihaki wazazi wake kwanza
Afungwe haraka tumechoka kuona vijana badala ya kulima wanashinda Twitter
Unaelewa maana ya Dhihaka wewe.........Kakojoe ukalale huelewi ata haki za msingi za binadamu, nikusaidie........ tuna life, liberty and pursuit of happiness. Niambie kosa lake jamaa liko wapi..... nenda youtube mtafute Travor Noah nadhan utaelewa.
Kuna raisi kaoneshwa dole la kati,na maisha yanaendelea sembuse yeye kuchekwa tu ni ushamba na uboya aliokuwa nao jiwe.Avune alichopanda. Huwezi kufanya dhihaka kwa Mkuu wa Nchi kiasi kile
Angejaribu kuwadhihaki wazazi wake kwanza
Kuna raisi kaoneshwa dole la kati,na maisha yanaendelea sembuse yeye kuchekwa tu ni ushamba na uboya aliokuwa nao jiwe.
Kufurahisha jamii.....that's all, hakuna kosa hapo.Sultani Alifanya Dhihaka.
Kwanza tambueni Raisi JP Magufuli, ni Raisi halari wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Hivyo anastahili kuheshimiwa na kila raia wa nchi hii, bila kujali ulimpigia kura au la.
Idrisa kama Msanii anayetazamwa na watu wengi Aliidhihaki Picha ya Raisi na Watanzania wengi waliiona video clip yake.
Je kama msanii ile video ililenga kufanya nini ktk jamii yetu.
Idrisa anastahili adhabu kali ili iwe fundisho kwake na kwa wengine.
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi wewe ukiona picha ya baba yako wakati yuko sekondari unaweza kuicheka kama alivyofanya IS?
Idirisa ni mdhalilishaji na mkosaji wa adabu.Avune alichopanda. Huwezi kufanya dhihaka kwa Mkuu wa Nchi kiasi kile
Angejaribu kuwadhihaki wazazi wake kwanza
Maadili gani mliyo nayo?Usifananishe Tanzania na Nchi za wajinga wasio kuwa na maadili
Idirisa ni mdhalilishaji na mkosaji wa adabu.Avune alichopanda. Huwezi kufanya dhihaka kwa Mkuu wa Nchi kiasi kile
Angejaribu kuwadhihaki wazazi wake kwanza
Maadili gani mliyo nayo?
Au nchi ya WAJINGA ?
Mkuu nijibu swali langu. Anyway ukiwa unafanya ujinga kama Is hakikisha uko clean(ni ngumu sana) vinginevyo ndio haya yatakukuta.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] View attachment 1460695