Idris Sultan akamatwa na Polisi, anahojiwa na Kitengo cha Makosa ya Mtandaoni

Kuna siku alihoji freedom of speech uko Twitter, shortly idrisa sultan siyo praise team yeye anasimamia kwenye ukweli tofauti na celebrities wengine uchwara

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ndo tataizo lakw yuko very positive sana jamaa yule hata ukimsikiliza kwa makini brain ipo huwa ana hoji mambo mengi ya kimsingi!!sasa kwa nchii kwa muda siyo rafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa acha uongo yaani Uingie USA ufanye unyama halafu utoke kirahisi kwa hawa watu wetu..nasema HAPANA
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...kuna haja ya kutoa elimu zaidi ya hii sheria ya makosa ya mtandaoni
 
Ulipaswa uulize mbinu gani za medani zimetumika kabla ya kukurupuka

Watu wengi sana wanafanyiziwa huko huko US labda kama si mfuatiliaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi acha kutupiga Sound,vyote ulivyoandika ni vya kufikirika tu.

INTERPOL ndio waliofanikisha zoezi hilo na sio nani wala nani.

Ndio,US watu wanafanyiziwa kwa sana tu lkn CONSEQUENCE za Kufanyia upuuzi huo ndani ya ardhi ya US unajulikana na wala hatuwezi kuthubutu kufanya hayo uliyoyasema.

Na tukio la bwana huyo kukamatwa lilitokea UK na sio US.
 
Hii ndio Tanzania......... sio kama US vile anavofanya Travor Noah. Hope mnaelewa.
 
Mkuu usinihusishe na upande wowote wa kisiasa, mimi ni pure mTanzania na kwa sasa ndani ya nafsi yangu sifungamani na upande wowote. Ninachosema, narudia tena, bila kujali kama kufanya hivyo ni kosa au si kosa kwa jamii zingine kulikuwa na ulazima gani kurudia kosa lile lile kwa maudhui yale yale? Wewe unaweza kufanya hivi alivyofanya Idris mkuu baada ya kuponyoka mara ya kwanza? Hebu tuweke ushabki wa siasa pembeni, wewe unaweza fanya kitu ukakamatwa kisha ukaonywa ukaachiwa kisha ukakirudia kitu kile kile hata kama kwa wakati huo huoni kosa lake, na ikiwa kitu chenyewe hakina ulazima wowote? Simtetei serekali ala simtetei Idris ila namshangaa kwanini analazimisha kukamatwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…