mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,257
- 1,543
Picha upigwe kwa hiari yako mtu acheke baada ya kuiona ukasirike!Kwa hiyo kucheka suti ya Rais ni kosa? Very stupid! mnataka kufanya vijana wawe waoga kuwaogopa ndio kwanza watazidi kuzaliwa wengine.Idiots
Jamaa alikuwa mwehu sana yuleMatatizo ya kujitakia
Wakati wa utawala wa JK mwanzoni kuna Jamaa alikuwa anajiita Ze Utamu, akadhalilisha watu wengi sana mwishowe akajikuta anamdhalilisha Mkuu wa Nchi
Aliishi Michigan, watu walimtafuta kwa mbinu za medani akajikuta kaingia kwenye 18 za Nchi
Alikuja akapigwa pipe akarekodiwa then akaachiwa huru arudi zake US akaambiwa nenda kaendelee ku post, mpaka leo hajarudia, Baba yake alikuwa Waziri wakati wa Nyerere na sasa hivi mmoja wa ndugu zake wa karibu ni Mbunge
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa acha uongo yaani Uingie USA ufanye unyama halafu utoke kirahisi kwa hawa watu wetu..nasema HAPANA
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi acha kutupiga Sound,vyote ulivyoandika ni vya kufikirika tu.
INTERPOL ndio waliofanikisha zoezi hilo na sio nani wala nani.
Ndio,US watu wanafanyiziwa kwa sana tu lkn CONSEQUENCE za Kufanyia upuuzi huo ndani ya ardhi ya US unajulikana na wala hatuwezi kuthubutu kufanya hayo uliyoyasema.
Na tukio la bwana huyo kukamatwa lilitokea UK na sio US.
Kaka lazima karudi mcharo kwa sasa umate umate anao kwa sasa ni lulu kwa ma babayVp bado yuko ngome
Naona MA baby's wa mjini wamejaa hapo obay
Wanampigania dhamana[emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Alienda kununua plants😀😀Anasema wema hakula hata alidangwanywa akaingia kwenye biashara ya madini na mshkaji wake!!akapoteza milionj 320 ndani ya miezi 6
Sent using Jamii Forums mobile app
Alifanya biashara ya rubi kwa kumuamini rafiki yake!!!yeye akiwa kwenye kampeni za uchanguzib2015Alienda kununua plants[emoji3][emoji3]
Account ni yake?
Ana miaka 32/33 sio 27View attachment 1454271
Mchekeshaji huyo mwenye miaka 27 anashikiliwa katika Kituo cha Polisi Oysterbay Jijini Dar na anahojiwa katika Kitengo cha Makosa ya Mtandaoni
Anashikiliwa baada ya kuwasili Kituoni hapo kufuatia wito wa Polisi na inadaiwa atahamishiwa Polisi Makao Makuu
Oktoba 2019, alikamatwa kwa kuhariri picha ya Rais Magufuli na alihojiwa kwa saa 5 katika Kituo cha Polisi Central, kisha kuachiwa kwa dhamana
Aidha, Idris aliyewahi kushinda tuzo ya Big Brother Africa mwaka 2014, Machi mwaka huu alifikishwa katika Mahakama ya Kisutu kwa kuweka maudhui mtandaoni bila leseni
Vigezo vya kushiriki ni miaka mingapi?Idris ana miaka 27?ha ha haa kwahiyo BBA ya 2014 alishiriki akiwa na miaka 21?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo mtupu!Matatizo ya kujitakia
Wakati wa utawala wa JK mwanzoni kuna Jamaa alikuwa anajiita Ze Utamu, akadhalilisha watu wengi sana mwishowe akajikuta anamdhalilisha Mkuu wa Nchi
Aliishi Michigan, watu walimtafuta kwa mbinu za medani akajikuta kaingia kwenye 18 za Nchi
Alikuja akapigwa pipe akarekodiwa then akaachiwa huru arudi zake US akaambiwa nenda kaendelee ku post, mpaka leo hajarudia, Baba yake alikuwa Waziri wakati wa Nyerere na sasa hivi mmoja wa ndugu zake wa karibu ni Mbunge
Sent using Jamii Forums mobile app
nimtukane mara ngapiJiingize na wewe kichwa kichwa uone mmezoea kumtukana wakuu wa Nchi ila kea awamu hii mtakubali tu
Weka Jina lako kamili,alafu uone kitakofuatanimtukane mara ngapi
Kawaulize polisi.Amefanya kosa gani?
Nyie ndio mnamvimbisha bichwa huyo mshamba mchunga ng'ombeHuyu dogo nae anatafuta kiki tu sasa. Unafanyaje kosa lile lile mara 2 hata kama ndani ya nafsi yako unaamini uko sawa.
Baada ya kuachiwa mara ya kwanza kwa kufanya uchekeshaji wa maudhui yale alitakiwa aachane nayo.
Mbona kuna maudhuhi mengi tu ya kuchekesha. Bila kujali kuwa ni sawa au haki au si sawa hatakiwi kulazimisha baadhi ya makosa.
Aache tu kama utawala huu haupendi kuchekeshewa Boss wao awe mpole tu asubiri utawala ujao amcheke huyo Boss.