Idris Sultan akamatwa na Polisi, anahojiwa na Kitengo cha Makosa ya Mtandaoni

Sasa umekataa nn na umekubali nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama picha ndo hiyo .. atakae mhoji lazima nae acheke..na akipelekwa mahakamani na judge ataangua kicheko akiwa anatoa hukumu..
 
Mmmmh kama issue ni picha hiyo ya jpm mbona inachekesha kweli. Labda kama sijaelewa kwanini amekamatwa
 

Bila shaka uhendisamu boi wake ndiyo unamuokoa na kila mara anaachiwa ila angekuwa na Nyago baya angeshaijua Segerea.
 
Afadhali

Navajo hata akiwa kichaa huwezi kumkejeli vile
 
Inamaana Idris nimepita mwaka....kubabaake..
.ngoja na mimi nisimamishe miaka...nafkiri hata wema anaitumia hii staili,manake Hadi saiv naskia anamiaka 26😬😬😬😬
 
Sasa inabidi akafumuliwe malinda tu nadhani ndo anachokitafuta huyo Idris
 
Naona kipofu unajaribu kutetea kipofu mwenzio, ile ni kucheka au kudhihaki, licha ya kuwa rais na kuwa taasisi, pia ni mzazi na ana watoto, je wanajisikiaje wakiona ujuha wa huyo Sultan.. Ni kukosa tu adabu kwenu na ujinga wenu utakao waangamiza..
Kwa hiyo kucheka suti ya Rais ni kosa? Very stupid! mnataka kufanya vijana wawe waoga kuwaogopa ndio kwanza watazidi kuzaliwa wengine.Idiots

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchekeshaji (comedian),hivyo ndivyo anavyotambulika na shughuli inayomuingizia kipato.Mbona yule anayemuigiza JPM sauti mpaka na uvaaji yeye anasifiwa tu?
Wakati mwingine kama binadamu tukubali kuna wakati wa "Light moment".Watu wacheke kidogo.
Pia tupate msaada wa kisheria kuhusu haya mambo ya uchekeshaji,kisheria ni lipi ufanye na lipi uache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…