Idris Sultan akamatwa na Polisi, anahojiwa na Kitengo cha Makosa ya Mtandaoni

kwa hiyo kosa kuifurahi picha ya hao wazazi?does it sense. we mzazi wako nikimcheka picha yake utanifunga?au ndo matumizi ya madaraka?hembu tuambie sasa kavunja sheria ipi hata kama ni sheria za kidkiteta
Acha kutetea ujinga! Magufuli hata mimi sielewani nae kwa siasa zake! Kama tunapenda haki tuache chuki, tusiwe na upendeleo na tuwe na utu na tuheshimu watu hata kama tunatofautiana nao kimtazamo.

Alichokifanya Idrisa ni dhihaki! Laiti kama angeliiweka picha ya mzazi wake halafu anaicheka unafikiri jamii ingelimpokeaje? Ingelimwambia hana nidhamu. Hata kama angeliiweka picha ya mzee mwenye umri kama wa Magu halafu anaicheka kwa muonekano unafikiri jamii ingelimchukuliaje? Ingelimwambia hana adabu! Anadharau watu kwa vile masikini! Huko siyo kuchekesha! Wengine wangelimwambia angelikuwa baba yako anafanyiwa hivyo ungejisikiaje?!

Ila kwa vile anafanyiwa Magu mnaona poa! Tuache unafiki. Angechekwa Mbowe hapo mngesema CCM inamtumia, serikali inaruhusu udhalilishaji wa upinzani na mngesema ingelikuwa ya Magu angelichukuliwa hatua!

Tuache unafiki! Kapanda upepo, muache avune kimbunga.
 
Watu wakicheka " kengeza" huwa panachafuka hapa kwa matusi!
 
Wewe unadhani mimi nikipost picha za wazazi wako nazicheka utafurahi?

Msitafte matatizo, hata mimi ukipost ukimcheka Mzazi wangu kwa kebehi lazima nikuadabishe.

Kuna sheria inasema picha ichekewe kwa kejeli? Hatuwezi kuwa na sheria kwa kila kitu ila ni busara tu.

Narudia, Huyo kijana ni mpumbavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hiyo picha ni ya zile enzi za Kolumbio University au kabla?
 
Acha kutetea ujinga! Magufuli hata mimi sielewani nae kwa siasa zake! Kama tunapenda haki tuache chuki, tusiwe na upendeleo na tuwe na utu na tuheshimu watu hata kama tunatofautiana nao kimtazamo.

Alichokifanya Idrisa ni dhihaki! Laiti kama angeliiweka picha ya mzazi wake halafu anaicheka unafikiri jamii ingelimpokeaje? Ingelimwambia hana nidhamu. Hata kama angeliiweka picha ya mzee mwenye umri kama wa Magu halafu anaicheka kwa muonekano unafikiri jamii ingelimchukuliaje? Ingelimwambia hana adabu! Anadharau watu kwa vile masikini! Huko siyo kuchekesha! Wengine wangelimwambia angelikuwa baba yako anafanyiwa hivyo ungejisikiaje?!

Ila kwa vile anafanyiwa Magu mnaona poa! Tuache unafiki. Angechekwa Mbowe hapo mngesema CCM inamtumia, serikali inaruhusu udhalilishaji wa upinzani na mngesema ingelikuwa ya Magu angelichukuliwa hatua!

Tuache unafiki! Kapanda upepo, muache avune kimbunga.
Kuna mda mimi Rais huwa nipo against naye katika mtazamo, na. Si dhambi.
Ila kejeli za namna ile ya Idris kwa mtu mwenye umri wa baba yake ni upumbavu.
Anatetewa na wajinga ambao hawajui ku balance mambo.

Kuwa kinyume na mtazamo na mtu haifanyi kutweza utu wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wakicheka " kengeza" huwa panachafuka hapa kwa matusi!
Watu wanafiki humu halafu wanajifanya watu wa haki, watu wa mageuzi! Kumbe bado wana ulozi na ushabiki wa maji ya bendera. Haya yote yanakuja kwa sababu chuki kwa Magu watu imewazidi.

Mwisho wa siku akitendewa naye vibaya watu wanachukulia ndiyo stahiki yake. Hata kama anatuletea sintofahamu ndani ya nchi kwa kadri ya mtu atakavyoiona lakini maadamu tumeamua kusimamia haki hata yeye akifanyiwa unyama tuuseme wazi! Kuwa hapa amefanyiwa vibaya, na hiyo ndiyo haki! Ndiyo maana huwa sioni tofauti kati ya wafuasi wa CCM na CHADEMA.

Trump akipita raia wake akimuonyesha dole la kati na Trump kama kapotezea na hajachukua hatua yoyote hiyo ni tamaduni ya kwao. Snoop Dog anatoa kibwenzo cha kwenye tuzo za BET AWARDS cha kumtukana Bush na Bush hachukui hatua yoyote hiyo ni tamaduni yao.

Nukta yao kuu eti uhuru wa kutoa maoni/kuzungumza. Hii ni Afrika! Tuna tamaduni, tuna mila na tuna miiko. Hata kama tunaiga kutoka kwao lakini bado tuna kanuni na nidhamu zetu za kuishi. Tamaduni za umagharibi ni za magharibi! Sisi Afrika tuna tamaduni zetu. Hata kama hajavunja sheria za nchi lakini bado Idrisa amemvunjia heshima Magufuli, umri wa Magufuli ni kama baba yake.
 
Watu wanafiki humu halafu wanajifanya watu wa haki, watu wa mageuzi! Kumbe bado wana ulozi na ushabiki wa maji ya bendera. Haya yote yanakuja kwa sababu chuki kwa Magu watu imewazidi. Ndiyo maana huwa sioni tofauti kati ya wafuasi wa CCM na CHADEMA.

Trump akipita raia wake akimuonyesha dole la kati na Trump kama kapotezea na hajachukua hatua yoyote hiyo ni tamaduni ya kwao. Snoop Dog anatoa kibwenzo cha kwenye tuzo za BET AWARDS cha kumtukana Bush na Bush hacking hatua yoyote hiyo ni tamaduni yao.

Nukta yao kuu eti uhuru wa kutoa maoni/kuzungumza. Hii ni Afrika! Tuna tamaduni, tuna mila na tuna miiko. Hata kama tunaiga kutoka kwao lakini bado tuna kanuni na nidhamu zetu za kuishi. Tamaduni za umagharibi ni za magharibi! Sisi Afrika tuna tamaduni zetu. Hata kama hajavunja sheria za nchi lakini bado Idrisa amemvunjia heshima Magufuli, umri wa Magufuli ni kama baba yake.
Kosa lake hasa lipi ????
 
Sasa hapo cha kuchekesha ni kipi?!

Mwanaume rijali unaejitambua huwezi chekeshwa chekeshwa na ukacheka.
Nashangaaga sana wale wanaoenda kwenye standup commedy za bongo! huwa wanachekaga nini!
 
Yule jamaa so mbunifu kabisa, mbona vitu vya kucheka na kuchekeaha vipo vingi tu, na ukifatilia apo cha kuchekesha ni suiti ya Mh.Rais, anasahau haya mambo ya kuvaaa modo ni ya hivi karibun zaman suruali bwanga kawaida sana.kwa nafasi ya Rais huwez kuidhihak kwa namna hyo unless kuna fundisho kwa jamii unataka kufanya
View attachment 1455154
Moderator naombeni sana msiunge huu uzi.

Yule msaani amepelekwa selo kwa sababu ya ile clip yake akionekana kuicheka hii picha? au kuna kingine?

Kama ni kuicheka hii picha,kosa lake ni lipi? amedhalilisha waliopo kwenye picha?kivipi? waliochekwa wameshtaki?wamepata damage gani?

Ukiacha yote hayo,labda pengine kwa sababu kwenye picha kuna rais,lakini ni kweli hicho kicheko kinakuwa big deal mpaka dola kuacha mambo ya msingi na kudeal na jambo kama hili?

Mambo haya tulizoea kuyasikia nchi za madikteta kama Robert Mgabe lakini leo hii tunayahuhudia hapa kwetu Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule jamaa so mbunifu kabisa, mbona vitu vya kucheka na kuchekeaha vipo vingi tu, na ukifatilia apo cha kuchekesha ni suiti ya Mh.Rais, anasahau haya mambo ya kuvaaa modo ni ya hivi karibun zaman suruali bwanga kawaida sana.kwa nafasi ya Rais huwez kuidhihak kwa namna hyo unless kuna fundisho kwa jamii unataka kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
kosa lake kukosa ubunifu wa kuchekesha?rais kadhihakiwa vipi?huyo sio yeye?hakuvaa hivyo?aliyemcheka alimchora au ni yeye aliyevaa hivyo
 
Uchekeshaji wa huyo dogo siuelewi kabisa.
Sanaa ya uchekeshaji ishakuwa ku dhihaki watu.
Hii ipo sana kwa wanaojiita wachekeshaji.
 
Kuposti posti picha za watu mitandaoni na kuwadhihaki si jambo zuri. Ndio shida ya ulimbukeni wa mitandao!!!

Mijitu imelimbuka kutwa kupiga umbea na kutengeneza majungu.

Kudhihaki watu mitandaoni ni kosa la jinai na ni utovu wa nidhamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom