Idris Sultan athibitisha kuwa Wema Sepetu ana mimba yake

Kama dangote bana dah wanaudhi eeeeee
wote wanapenda kick za kitoto lakini huyu suparstar wa insta amezidi na kila anachokifanya inaonekana anamjibu baba Tiffah ... Atangaze ni mjamzito harafu aje aseme imetoka sijui ataishije kule insta?
 
Idriss Sultan

Nlimpigia kura sana wakati wa BBA

Ila kwa sasa hafanani na yule wa BBA

Sijui kabadilika nini ila ananifanya nimkumbuke muhuni "NANDO"
 
Achana na maneno ya kusikia mpaka uone mwenyewe
nakuhakikishia Wema hana Ujauzito wala Uja mwepesi.. Alishafanya drama kama hizi kitambo sana na watu wakaamini lakini kilichokuja kutokea ni ajabu.. Hili linalofanyika ni ligi inayoendelea kule insta na siku ikijagundulika hana kijacho nadhani kambi ya upande watatu itatawala inst
 
Kama ni kick itakua ya mwisho bora ampe mond i papucha a.ka. mautamu tena tifauti na hapo zari itabidi aje bongo kuigiza movie yeye mpaka akimaliza kulea mwana basi atakua muuza matunda[emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji122] [emoji12] [emoji122] [emoji817]
 
Msijiulize sana juu ya hili, ukishaona mtu mzima ana akili timamu na anakazania kuangalia Disney Channel basi hapo still downloading kichwani.
 

no 11 jumbe teja tena huyu alifunga nae ndoa
 
Idriss Sultan

Nlimpigia kura sana wakati wa BBA

Ila kwa sasa hafanani na yule wa BBA

Sijui kabadilika nini ila ananifanya nimkumbuke muhuni "NANDO"


Huyu dogo ni mjinga asiyejitambua....wenzake waliokuwa wanatumiwa na Wema kwa ajili ya promo wameishiwa na Wema anazidi kutafuta wengine wa kuwachezea. Idriss anajihisi anapendwa kumbe anatolewa ufahamu, atakuja kushituka kaishiwa pesa na Wema hana mpango naye ndipo ataanza kulaumu watanzania kuwa wabaya hawakumshitua mapema. Mondi alishituka kila siku anakamuliwa mamilioni, akasepa baada ya siku kadhaa watu wakaona hirizi pamoja na picha za Mondi jalalani zimetupwa na house girl wa Wema. Vijana hamkeni, mnafanywa misukule bila kujitambua, shauri zenu mtakwisha.
 
idris kwa wema ni mtoto na mama yake. vijana wengine wanatafuta laana bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…