Itakuwa jambo baya sana.....Lissu aachwe tu aongee atakavyo sioni haja ya kuangaika naeIDU wametoa statement ya kufatilia tetesi za mpango wa makatili kumuwekea Lissu sumu.
Itakumbukwa ya kuwa Lissu amekuwa mwiba mchungu kwa serikali za Tanzania.
IUD wamesema watatoa daily update kuhusu njama izo.
=============
IDU imeshtushwa na taarifa za jaribio la kumtilia sumu kiongozi wa upinzani Tundu Lissu akiwa chini ya ulinzi. Tunazitaka mamlaka za Tanzania kulinda maisha, afya na haki zake. Madhara yoyote yatakuwa chini ya dhamana ya Serikali ya Tanzania. Dunia inatazama
Tatizo Lisu akiwa mahakamani anaonekana mwemye afya, bashasha na kujiamini sana. Washindani wake hawapendi.IDU wametoa statement ya kufatilia tetesi za mpango wa makatili kumuwekea Lissu sumu.
Itakumbukwa ya kuwa Lissu amekuwa mwiba mchungu kwa serikali za Tanzania.
IUD wamesema watatoa daily update kuhusu njama izo.
=============
IDU imeshtushwa na taarifa za jaribio la kumtilia sumu kiongozi wa upinzani Tundu Lissu akiwa chini ya ulinzi. Tunazitaka mamlaka za Tanzania kulinda maisha, afya na haki zake. Madhara yoyote yatakuwa chini ya dhamana ya Serikali ya Tanzania. Dunia inatazama
Chuma cha liganga 😂 😂 😂Hiki chuma walijua kama mdau wao Wembo kumbe hii machine ya Kijerumani🤣🤣🤣Chuma cha Pua toka Mchuchuma Tanganyika
No reform No Election
.The world is watching!! #FreeTunduLissu
IF they could shoot him in day light, what else can't they do?The gvt is not a fool my friend
Kabisa MkuuHiki chuma walijua kama mdau wao Wembo kumbe hii machine ya Kijerumani🤣🤣🤣Chuma cha Pua toka Mchuchuma Tanganyika
No reform No Election
Ng'ombe wa mamaWrite your reply...watamuwekea wao akifa waseme serikali imemuua
Not nowIF they could shoot him in day light, what else can't they do?
Kwaajili ya ustawi wa lubdAMzanzibari amenogewa na damu za Watanganyika anawaza kuua tu.
Kazisababisha yeye na siyo LissuLissu anaudhi Magu hakuwa mjinga kumtumia wasiojulikana,Samia atakuwa ana hasira sana na Lissu,90% za Samia kuchafuka kimataifa zimesababishwa na Lissu
Since independence CCM ndo Wana true oppositionKwa magumu aliyopitia Lissu,na magumu aliyonayo,Mimi siwezi,either Mimi ni muoga sina akili,au Lissu ni jasiri asiye na akili
Ni kiburi hivi angewawahi Chadema kuhusu reforms I hope wangeelewanaKazisababisha yeye na siyo Lissu
Kwa Sasa ni ngumu mno kumuua Lissu
Yeyote atakayejaribu atakufa yeye Kama ilivyoandikwa!!