Kenya 2022 IEBC: William Ruto ameshinda Urais kwa 50.4% dhidi ya 48.8% za Raila Odinga

Kenya 2022 General Election
Wazee wa Katiba Mpya wanasemaje maana nako huko kwa 'wenzetu' Nako kuna madai ya wizi wa kura
Matokeo ambayo hayawezi kusimama yenyewe na kuthibitishwa kimahesabu si matokeo halali ya uchaguzi.
Naona kesho asubuhi milango na vyumba vya mahakama vitavyokuwa busy!

NB: Kuna wajumbe wanne wa IEBC wamejilipua kuwa kilichofanywa na IEBC dakika za mwisho hakiwahusu!
 
Wazee wa Katiba Mpya wanasemaje maana nako huko kwa 'wenzetu' Nako kuna madai ya wizi wa kura
Rais na mteule wake wote wametoswa.

Imewezekana Kenya, Itawezekana Tanzania.

Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi Hoyeeeeeeeee😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀.
 
Mwizi mwizi sana
 
Takwimu zinaonesha kuwa wakenya wanategemea sana soko la Tanzania kuliko sisi tunavyotegemea soko lao.

Wakiamua hivyo basi wao wataathirika zaidi kuliko sisi.
Aliyeingia kuwa Rais ndiye mpinzani Mkubwa wa biashara ya Nafaka Kati yetu na wao, kipindi kile cha Jpm ndiye aliyekuwa sababu ya kuzuia mahindi yasiingizwe nchini kwao Kwa kuwa alikuwa na mashamba makubwa ya mahindi Congo!

Sasa ndo kashika usukani, piga picha itakuwaje!
 
Kitendo cha kuweka matokeo wazi kila mtu kuyaona ndicho kilichofanya washindwe hata kuyachezea, kwa uhakika Ruto alistahili ushindi
Wengine tulisema Ruto atashinda tukatukanwa lakini sasa imedhihiri , wakenya wanachagua mtu sio chama ndio maana kuna county kama Nairobi seneta ametoka kwa Odinfa na gavana kwa Ruto. Matokeo yako kwenye portal hata mtu akijidanganya kwenda mahakamani hatoboi .

Funzo kubwa: transparent preempts those who always think they can fool mass with false allegations of results rigging.

God bless Dr Ruto to lead Kenya in accordance to your will.
 
Raila alichoharibu ni kuwa na urafiki na dictator Jiwe ,
 
Kenyatta akili kubwa sana alijifanya kumuunga mkono Odinga kumbe changa la Machoo.

Afrika kiongozi anayetoka madarakani ndiyo anaamua nani arithi kiti chake, Jaluo kwa mara nyingine changa la machoo. Hapa kwetu CCM Itaendelea kutawala miaka 100.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…