4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
We huko Dunia GANI ,yupo anatoa speech ,au ulikua umelala mkuuHongereni Wakenya Ruto Sasa Ni raisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We huko Dunia GANI ,yupo anatoa speech ,au ulikua umelala mkuuHongereni Wakenya Ruto Sasa Ni raisi
Uchaguzi ni mchakato kuanzia tume, uteuzi wa wagombea, kampeni, mawakala, upigaji kura, kuhesabu kura, matokeo na utaratibu wa kupinga matokeo...
Kama yote hayo yapo Tanzania na yanafanyika kwa haki na uwazi basi hakuna cha kujifunza!
Unaelimu gani we binti?Unakalia bolo wewe ,, mahindi yanatoka mengi kusababisha hata ndani kukosekana na kuanza uzwa ghali kwa hio wewe ulikuwa unafurahia? Em niambia labda ni bibi yako mahindi yake yalioza kwa kukosa wanunuzi lini acha upimbi wewe utatoka huku kwanza
Nawataka hapa walio sema Ruto hawezi KUWA raisMwenyekiti wa Tume ya Taifa ya uchaguzi Kenya, Wafula Chebukati amemtangaza William Ruto kuwa mshindi wa kiti cha urais Kenya kwa kupata 50.4% ya kura zote za Urais dhidi ya 48% za Raila Odinga.
Awali katika ukumbi wa Bomas kulitanguliwa na vurugu baada ya sintofahamu ya kuchelewa kwa matokeo huku maafisa wanne wa IEBC ikiripotiwa kutokubaliana na matokeo.
Matokeo ya Urais yalitarajiwa kutangazwa saa 9 alasiri hata hivyo yalichelewa na hatimaye kutangazwa saa 12 jioni.
Matokeo hayo yametangazwa bila uwepo wa mgombea wa Azimio RAILA ODINGA.
WILLIAM RUTO kwa matokeo hayo ndiye Rais mteule wa 5 wa Jamhuri ya Kenya
View attachment 2324663
View attachment 2324665
Asante sana kwa kunipongeza. Nakiri kabisa haikuwa safari rahisi. Sitawaangusha nyie wapiga-kura wangu na Wakenya kijumla.Hongera sana President elect William Ruto.
Hamuuzi tena mahindi Kenya ng'o, biashara na Kenya sasa itakuwa ya kisasi
Tumeni basi downloaded video clip za Chebukati akimtangaza ruto. Waandishi wa habari wa jf mnaniangusha jamani
Inaonekana urafiki wao ni wa kiwango cha kuombea mkopo bankMarch handshake
RaiLa atamkumbuka miguna miguna ruto na uhuru hawakukutana semina
Mavi yuleLipumba alisema Raila kamtia moyo nae atagombea!
HOTUBA YA RAIS MTARAJIWA WILLIAM S RUTO, MARA BAADA YA TUME YA IEBC KUMBIDHI CHETI CHA KUMTANGAZA MSHINDI
Nimesomea kukuchomeka vijiti kumtakoUnaelimu gani we binti?
Je, umewahi kujiuliza kwamba hata wakulima wanahitaji kuwa na maendeleo kutokana na jasho lao?
Unataka bei iwe chini ili wao maisha yao yawe ya chini miaka yote?
Huna adabu binti wewe, na mumeo anakazi kweli kweli
Akiungana na Mike Sonko, Gangster Team inakuwa imetimia 100%. hahahahaKupambana na Ruto sio kwenye majukwaa tuu lakini hata kwa wizi hawamuwezi ingawa najua wizi safari hii hajafanya ila Ruto wakati wa Moi alipachika watu Kenya nzima idara nyeti ili walinde maslahi yake akijua siku moja atagombea urais na anavyoijua Kenya angeweza hujumiwa. Ruto ni Hustler sio mchezo.
Kwani wanawekanaga mkuu.
Ni hiviiiiiiiiiii--Dear-Mondy arudishe milioni 240 (dola 100,000) za kampeni ya Raila Odinga. Ni hilo tu.Watanzania tuna lolote lipi kwenye uchaguzi?