Kenya 2022 IEBC: William Ruto ameshinda Urais kwa 50.4% dhidi ya 48.8% za Raila Odinga

Kenya 2022 General Election
Hii ni kweli kabisa but Tanzania ni Baba wa East Africa tutamfix na biashara zitaendelea kama kawaida
 
Kwani kuna siku mahindi yameoza nchini kwa kukosa wanunuzi . Tena ndo vizuri na unga ushuke bei
 
Pamoja na mbeleko ya rais bado Ruto kamkalisha chini, hii ndo raha ya uchaguzi kuendeshwa na tume ambayo ipo huru kwa asilimia mia moja. Hongera Wafura Chebukati kwa kusimamia sheria na katiba ya nchi yako ya Kenya na kutii kiapo chako cha utumishi kwa umma wa wakenya.
 
Tumeni basi downloaded video clip za Chebukati akimtangaza ruto. Waandishi wa habari wa jf mnaniangusha jamani
 


Nafikiri ni vizuri ukawakilisha asilimia zote za Odinga ambazo ni karibu 48.8%
 
Unakalia bolo wewe ,, mahindi yanatoka mengi kusababisha hata ndani kukosekana na kuanza uzwa ghali kwa hio wewe ulikuwa unafurahia? Em niambia labda ni bibi yako mahindi yake yalioza kwa kukosa wanunuzi lini acha upimbi wewe utatoka huku kwanza
Tulia uletewe pesa ya matumizi nyumbani, utajua wapi uchungu wa kutafuta pesa wewe dada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…