Susuviri kakae na Genge lenu la TGNP muwaongopee watu...huku mkisubiri "Vijisent vya wazungu"...unaposema "ukewenza hauna nafasi ktk ulimwengu wa sasa ....as if mwanadamu sasa amekuwa na Miguu minne...
hakuna strong ideas mnazozitoa juu ya nadharia ya "Ukewenza"...
Kwenu nyinyi..KUZINI ni HALALI...ULAWITI ni HALALI..hamuoni AIBU...?ila mtu akioa mke zaid ya Mmoja si Halali...?...duh
Here we go again, Mr/Mrs Chuma, wazungu wamekukosea nini kwenye hii topic! This is typical example wa Africans, we keep on blaming other people/westerners for our own faults, why we dont want to face the music on our on way, everything blaming westerners! Is this due to lack of education? Or its just ignorance? Why do you have treat other people as shit and once they question ohh wazungu wanawafundisha! Shame on you Chuma.
As I said earlier, you like it or not, Woman in Tanzania wanafikia kipindi cha Revolution, they move forward to know they are rights as citizens, mothers, and wife, as well as what they contribute to their families and country. Hence mate you need to start open your mind up and think outside the box. Ni kama wakati wa mkoloni when locally people walipoanza kujua their rights walikuwa wanaresist but people kept pressing up, this is what you are going through, and this is what make me wonder whether people like you are womanizers!
By the way, ata jamii yetu ya Tanzania wanalawiti, kuna mashoga and so on, immoral behaviors are universal and it doesnt work on race! Raping is happen in every race and socities, the difference is some countries like Tanzania, there are some socities where they see rape to women is fine simply because it work on selfishness of a man!! and you call that culture?