Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
-
- #81
Umeuleta huu uzi angalia usije kuitwa mvaa kobazi ustazi.Kama ilivyokawaida sisi tusiotishwa na propaganda mbalimbali huwa tunafanya utafiti kwanza kabla ya kuanza kupiga kelele. Leo nitaanza kuielezea Iran kuhusu Historia yake, Maendeleo yake na hali ya sasa ya kiuchumi.
HISTORIA
Iran(Uajemi au Persia) tunayoiona hivi leo imeanza kujengwa miaka zamani sana; aliye anzisha himaya hiyo ni Cyrus the Great (Koreshi Mkuu) miaka ya 559BC. Hawa watu wameanza Civilization miaka mingi sana.
Eneo lote kuanzia Pakstan na sehemu ya India mpaka Romania lilikuwa chini ya Utawala wa Waajemi
View attachment 2965168
UCHUMI WA IRANI KWA SASA
Kwa sasa uchumi wa Iran ni $1.726 trillion (PPP; 2023 est.)
Uchumi wa Iran unaendeshwa na Sector:
Petroleum, petrochemicals, fertilizers, caustic soda, car manufacture, parts, pharmaceuticals, home appliances, electronics, telecom, energy, power, textiles, construction, cement and other construction materials, food processing (particularly sugar refining and vegetable oil production), ferrous and non-ferrous metal fabrication, armaments.
VEHICLE MANUFACTURING COMPANY IN IRAN
Iran Khodro
View attachment 2965189
Naendelea kutoa madini sasa......
Mbona taifa teule halipo?
😂😂😂😂Endelea mkuu kututoa tongotongo bwana
Nafkili uje uhitimishe kwa nini nchi ambazo hazina vikwazo hawaifikii Iran kwa uchumi na teknolojia hususani bara giza
Kwa namna nilivyosoma huu uzi aisee kweli Iran ni tishio kwa maslahi ya USA na westerners pale middle east.Mkuu unachelewesha utamu
Ruka sekta zote nenda kwenye nguvu ya kijeshi
Halafu usisahau kutuelimisha kuhusu alshaheed drones zinavyoleta balaa duniani.
Farda motors imeanzishwa 2013 na hiyo gari aloleta jamaa ni moja kati ya toleo la Farda motors.Mi nimeishia hapo ku expose uongo wako, nimeweka source ya kila kitu ambacho nimekikosoa kuwa ni uongo.
Na itakuwa ni knowledge kwa watu ambao ni curious wanaotaka habari za ukweli.
Uzuri ni kwamba hata wewe bado utaendelea kujizolea wafuasi ambao wako interested na stori hizo, licha ya kwamba zimekuwa debunked.
Iran ina vikwazo vya kiuchumi miaka 70 sasa.Iran wamewekeza kwenye elimu lakini bado Saud Arabia anawazid pesa
Farda motors wenyewe wanakiri kuwa gari hii wamei rebadge kutoka kwa Forthing Yacht ya mchinaFarda motors imeanzishwa 2013 na hiyo gari aloleta jamaa ni moja kati ya toleo la Farda motors.
Uache kuchanganya mambo.
Sasa mzee inawenda Wikipedia na kuedit taarifa ili ujifurahishe 🤣 🤣 🤣 🤣 Unahaha mnoFarda motors wenyewe wanakiri kuwa gari hii wamei rebadge kutoka kwa Forthing Yacht ya mchinaView attachment 2965410
Bora ulikuwepo, tusio watafiti tulishajaa kumbe nyingine ni kamba.Jina ndio hoja iliyopo kwenye swali nililouliza?
View attachment 2965310
Hii gari imetengenezwa China na kuja kuwa rebranded kwenye nchi tatu yani Italy, Iran na Europe.
Iran gari hiyo imepewa jina la FMC Suba M4
Na picha yake ya muonekano ni hii
View attachment 2965346
Kule Europe gari hiyo imepewa jina la DFSK Forthing 4 U-Tour
Na picha yake ya muonekano ni hii
View attachment 2965349
Italy gari hiyo hiyo imepewa jina la Cirelli 7
Na huu ndio muonekano wake
View attachment 2965358
Wewe MTanzania hata ku rebadge unaweza!?Bora ulikuwepo, tusio watafiti tulishajaa kumbe nyingine ni kamba.
Wikipedia tunajua kuitumia na kuhakiki habari na ndio maana kuna external sources.Sasa mzee inawenda Wikipedia na kuedit taarifa ili ujifurahishe 🤣 🤣 🤣 🤣 Unahaha mno