Ifahamu Iran na Maendeleo yake (Technology and Manufacturing)

Ifahamu Iran na Maendeleo yake (Technology and Manufacturing)

Iran utawapenda tu

1713270289721.png
 
Kama ilivyokawaida sisi tusiotishwa na propaganda mbalimbali huwa tunafanya utafiti kwanza kabla ya kuanza kupiga kelele. Leo nitaanza kuielezea Iran kuhusu Historia yake, Maendeleo yake na hali ya sasa ya kiuchumi.

HISTORIA
Iran(Uajemi au Persia) tunayoiona hivi leo imeanza kujengwa miaka zamani sana; aliye anzisha himaya hiyo ni Cyrus the Great (Koreshi Mkuu) miaka ya 559BC. Hawa watu wameanza Civilization miaka mingi sana.

Eneo lote kuanzia Pakstan na sehemu ya India mpaka Romania lilikuwa chini ya Utawala wa Waajemi

View attachment 2965168

UCHUMI WA IRANI KWA SASA

Kwa sasa uchumi wa Iran ni $1.726 trillion (PPP; 2023 est.)
Uchumi wa Iran unaendeshwa na Sector:

Petroleum, petrochemicals, fertilizers, caustic soda, car manufacture, parts, pharmaceuticals, home appliances, electronics, telecom, energy, power, textiles, construction, cement and other construction materials, food processing (particularly sugar refining and vegetable oil production), ferrous and non-ferrous metal fabrication, armaments.

VEHICLE MANUFACTURING COMPANY IN IRAN
Iran Khodro

View attachment 2965189

Naendelea kutoa madini sasa......
Umeuleta huu uzi angalia usije kuitwa mvaa kobazi ustazi.
 
Iran wamewekeza kwenye elimu lakini bado Saud Arabia anawazid pesa
 
Mkuu unachelewesha utamu
Ruka sekta zote nenda kwenye nguvu ya kijeshi
Halafu usisahau kutuelimisha kuhusu alshaheed drones zinavyoleta balaa duniani.
Kwa namna nilivyosoma huu uzi aisee kweli Iran ni tishio kwa maslahi ya USA na westerners pale middle east.
Maana kama yuko vizuri kiviwanda,kiteknolojia na kinishati inamaana kama asingewekewa vikwazo kuanzia silaha mpaka magari middle east isingelazimika kutegemea USA au Westerners.
Tujiulize kama Iran asingekua na vikwazo vya kiuchumi hivi ingekuajee!?
 
Mi nimeishia hapo ku expose uongo wako, nimeweka source ya kila kitu ambacho nimekikosoa kuwa ni uongo.

Na itakuwa ni knowledge kwa watu ambao ni curious wanaotaka habari za ukweli.

Uzuri ni kwamba hata wewe bado utaendelea kujizolea wafuasi ambao wako interested na stori hizo, licha ya kwamba zimekuwa debunked.
Farda motors imeanzishwa 2013 na hiyo gari aloleta jamaa ni moja kati ya toleo la Farda motors.
Uache kuchanganya mambo.
 
Farda motors imeanzishwa 2013 na hiyo gari aloleta jamaa ni moja kati ya toleo la Farda motors.
Uache kuchanganya mambo.
Farda motors wenyewe wanakiri kuwa gari hii wamei rebadge kutoka kwa Forthing Yacht ya mchina
Screenshot_20240416-155017.png
 
Jina ndio hoja iliyopo kwenye swali nililouliza?


View attachment 2965310

Hii gari imetengenezwa China na kuja kuwa rebranded kwenye nchi tatu yani Italy, Iran na Europe.

Iran gari hiyo imepewa jina la FMC Suba M4

Na picha yake ya muonekano ni hii

View attachment 2965346

Kule Europe gari hiyo imepewa jina la DFSK Forthing 4 U-Tour

Na picha yake ya muonekano ni hii

View attachment 2965349

Italy gari hiyo hiyo imepewa jina la Cirelli 7

Na huu ndio muonekano wake

View attachment 2965358
Bora ulikuwepo, tusio watafiti tulishajaa kumbe nyingine ni kamba.
 
Sasa mzee inawenda Wikipedia na kuedit taarifa ili ujifurahishe 🤣 🤣 🤣 🤣 Unahaha mno
Wikipedia tunajua kuitumia na kuhakiki habari na ndio maana kuna external sources.

Kuhusu ku editi.

Kama nime edit basi angalia last edit imefanywa katika kipindi cha muda gani

Last edit imefanywa miezi mitatu iliyopita.

Sometimes unabidi tu kuwa muungwana na kukubali kuwa umekosea kuliko hizi conspiracies unazoleta kuhalalisha uongo wako

Screenshot_20240416-160115.png
 
Back
Top Bottom