fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,911
Mbona Zimbabwe ilikuwa na vikwazo ilikuwa nann?Endelea mkuu kututoa tongotongo bwana
Nafkili uje uhitimishe kwa nini nchi ambazo hazina vikwazo hawaifikii Iran kwa uchumi na teknolojia hususani bara giza
Matusi tena?Hiki ulichoandika ni Propaganda ya mashoga. Je wewe ni shoga?
Kumbe tunapigwa?Mkuu hii gari ni rebadged version ya Forthing Yacht ya Mchina.
Na ndio maana hata picha yako hapo inaonesha maandishi ya kichina kwenye kuta na vibao vya matangazo. Ikionesha hii gari ipo china na sio Iran.
(Japo unaweza kusema mitaa kuwa na maandishi ya kichina sio uthibitisho kuwa hapo ni china)
Iran hapaswi kupewa credit ya manufacturing kwenye products ambayo hajatengeneza.
View attachment 2965226
Mkuu linganisha Zimbambwe na Irani kiuchumi na teknolojiaMbona Zimbabwe ilikuwa na vikwazo ilikuwa nann?