Au ni ile laana yetu ya asili kwa ngozi nyeusi ndio inafanya kazi huko?
Rais kashindwa kudhibiti hicho kitengo na kimelalamikiwa kwa muda mrefuKwahiyo wanataka Rais atoke? Mbona source ya maandamano Sio Rais ni police
Hizo laana unazo wewe. Waafrika Hawana laana[/QUOTE]Nimemquote mleta mada, sikusema waafrika tuna laana, wala mimi sina laana, natumai umenielewa.Ngozi nyeusi unamaanisha waafrika weusi ? Kama ndiyo, tuna laana gani ?
Nimemquote mleta mada, sikusema waafrika tuna laana, wala mimi sina laana, natumai umenielewa.[/QUOTE]Nimekusoma.. Mtoa Mada ni bwege tuuHizo laana unazo wewe. Waafrika Hawana laana
Nimekusoma.. Mtoa Mada ni bwege tuu[/QUOTE]Ni kasumba ya baadhi ya vijana wa kiafrika, tumekuwa na mlolongo wa imani na fikra za ovyo kuhusu uafrika na waafrikaNimemquote mleta mada, sikusema waafrika tuna laana, wala mimi sina laana, natumai umenielewa.
Si umeona mali za kiongozi wa huko tinubu zinavyoshambuliwa
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Waelekee Mara ngapi mkuu,IPOB wanataka wawe huru Ni muda Sasa, Ukiachana SARS,SWAT ,Raia wa IPOB wamekuwa wakifanyiwa unyama wa Hali ya Juu na Fulani's herdsmen wakishirikiana Na polisi/wanajeshi sema Tuu kiongozi wao Nnamdi kanu ndo anatumia busara kuwatuliza igbo's ...Hataki yatokee Kama Yaliyotokea before.wanaelekea kwenye Vita vya wenyewe kwa wenyewe
Unapaswa kujua kwamba utendaji mbovu au mzuti wa Polisi ni alama ya tabia za Rais. Ukatili wa Polisi ni Ukatili wa Rais. Rais hawezi kuwa mtenda haki Polisi wakawa katili na dhulumati halafu akawavumilia.Kwahiyo wanataka Rais atoke? Mbona source ya maandamano Sio Rais ni police
Hatari...wanaelekea kwenye Vita vya wenyewe kwa wenyewe
Ukishapewa unachokitaka ukaendelea kudai kingine unastahili kunyooshwa. Unadai changes alafu unaenda kuvamia jela unafungulia wafungwa huo ni uhalifu na ujinga.Serikali za kiafrika zimezidi bwana
Hawana njia nyingine ya kumkabili mtu ambae Hana siraha zaid ya kumuua?
Kwa sababu ndio ana qualifications, uwezi unda unit mpya leo ukatrain watu leo leo hiyo hiyo wakaanze kazi wote. Waafrica tuache ujinga.Wanaaacho maanisha ni kuwa, kama hapa umevunja police yote na umeunda nyingine then inakuwaje afande siro bado awe IGP?
Kwa hiyo hiyo vita wanaenda kumuua nani? Na baada ya kuua wanapata nini kipya?Nyie c mnaandika tu unacho jskia mnawaona wa nigeria kama wapumbavu, endleen tu kuomba aman ya nchi yenu ila yakiwafka ndo mtajua uchungu wa kumwaga dam, maandamano ayawez kuisha coz dam za ndgu zao zna mwaga na ndo hasira znzid na mkumbuke watu wenye roho ngumu kwenye hili bara ni Nigeria awogopi kitu ! Sahv wanaomba msaada wa bunduki ili vita ianze rasmi show bdo nzito sana ii
Kwa sababu ndio ana qualifications, uwezi unda unit mpya leo ukatrain watu leo leo hiyo hiyo wakaanze kazi wote. Waafrica tuache ujinga.
Wanaogopa moto unaweza kufika hukusijui kwanini wanasisiemu wanapata hofu sana wanaposikia raia wa taifa fulani ndani ya africa wanafanya maandamano dhidi ya viongozi waliopo madarakani?.