Ifikie hatua tuachiane nafasi

Mahusiano ya hivi ya kuwa karibu muda mwingi,au kila wakati namtafuta fulani huwa kuna changamoto za kupiga hatua za kimaendeleo,maana kuna wakati mtu unapata tender,kazi,madili nk nje alipo mwenza wako,sasa kwa kuwa utaendekeza mapenzi na yeye hataki mkae mbali ana visababu vyake vya kiwivu na za kibinafsi basi mtachelewa sana kupiga hatua za kimaendeleo ,na mara nyingi mkiachana unakuta mmeshapotezeana muda na kuna ugumu kuanza upya unaona dunia imekuelemea umeshapoteza fursa nyingi.mapenzi yana nguvu sana kuwabadilisha watu
 
Mi mahusiano ya kupigiana simu kila wakati kama unamjulia mgonjwa hali siyawezi. Nashukuru tangu kipindi cha uchumba tulikua tunapigiana simu mara mbili au tatu tu in a day. Na mambo yalienda. Shida ni ukiwa nje ya mkoa mliopo ndo tabu inaanzia hapo. Ntapigiwa simu hizo, na nisipopokea bahati mbaya mtu anapanic vibaya. "Utaskia upo mbali na nyumbani afu hupokei simu inakuaje"

Hapa ataanza na gia ya watoto. Ushawasiliana na watoto nyumbani au uko busy tu na mambo yako. Kifupi Mawaliano ni mazuri yanaimarisha ndoa lakini kusizidi huko kupigiana kila muda kunakera.
 
Ukiwa katika ndoa usipoona msg hata moja ya mkeo au mumeo ndio utaelewa kuwa Mume au mke yuko busy Na sidechick huko nje.huku katika mahusiano watu huchukulia rahis sana.ngoja Hii Ngoma iwe kinyume nyume chakee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] train your mind kuona mitazamo yako kwenye chanya na sio hasi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa utawaza kwanini mke/mume wangu hajatuma msg atakua analiwa jamani, kama hujui wanawake wanawatesa sana wanaume wenye wivu akiona una wivu ndiyo furaha yake utaipata yani anawezajikausha tu anajua anaupeleka race moyo wako
 
🤣Huyo wako utanipea pia?
 
🤣
 
Eeh Yuko sawa,Kwa Nini uwe mbali na nyumbani halafu ukae kimya,piga simu mara Kwa mara😁😁😁
 

Ujue ratiba ili uanze kutengeza scene asipokutafuta unaanza aahhhh tayari kashaenda kwa malaya zake....swala hapa umuamini tu mwenza wako maana kama mtu ni tabia yake kuchepuka hata umbane kiasi gani tabia ni tabia tu,so jaribu mbadilisha kwa tabia zako nzuri
 
🤣
 
Na tunaangukia pua Kweli
 
Daaah,Sasa ukitoka kazini akaniambia bby natoka sehemu ni na washkaji nitachelewa kidogo Kuna tatizo gani?yaani Kuna Siri gani ya mkeo kutojua unatoka job muda gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…