mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
Naomba nikung'ang'anie[emoji41]
Unaenda kwao usukumaniUtaniozesha wewe?
Mahusiano yanatakiwa yawe hivyo lazima yanogeUnanikumbusha mbali nilifanyiwa bonge la surprise bila kutarajia
Kabisa mama[emoji8]
We hujui mahabati weye, yani mimi nikipenda nazama dublii mazima na nikitoka nimetoka..Haha utanilaani bure Mimi wa type hiyo si wataki, maana jamaa alianza hadi kunitishia maishaa… na kwa akil zake yule anaweza jiua na yeye….
Mimi bado mdogo sitaki kufa mapemaa kisa penzi
Ndio hivyo ummiss mwenzako hata Mwezi au Miezi Mzee unapiga mechi za ugenini tu ukirudi uwanja wa nyumbani aah mboni kitaelewekaMahusiano yanatakiwa yawe hivyo lazima yanoge
Amini kwamba Mimi ndio unaefanana nae Mungu kakupa tayari ushindwe wewe tu [emoji38]
Mwengine sio kwamba ni wivu Ila ile misarakasi unayompa kunako sitamarasitaYeah… wivu ndio mapenzi ila ukizidi unaharibu so ni kubalancee
Ana Chura je yeye ni mweupe wa asili au mweupe wa dukani?Unaenda kwao usukumani
Kila kitu kwa kiasi kipo, ni maji ya kundeAna Chura je yeye ni mweupe wa asili au mweupe wa dukani?
Ukiwa katika ndoa usipoona msg hata moja ya mkeo au mumeo ndio utaelewa kuwa Mume au mke yuko busy Na sidechick huko nje.huku katika mahusiano watu huchukulia rahis sana.ngoja Hii Ngoma iwe kinyume nyume chakee
We hujui mahabati weye, yani mimi nikipenda nazama dublii mazima na nikitoka nimetoka..
Mwengine sio kwamba ni wivu Ila ile misarakasi unayompa kunako sitamarasita
Haya sawa hamna shida kikubwa dunia ijae tu mboni 'Elon Musk' anatuhamasisha tuijaze dunia mlete tuKila kitu kwa kiasi kipo, ni maji ya kunde
Sasa unauliza ili iweje alafu aliekwambia mwanaume anaulizwa ulikua unaongea na nani ni nani? Siulizwi na chakula Cha usiku napewa tena najaziwa hadi juuMwanaume ukianza kuwa hivyo ndio mwanzo wa dharau… mwanaume hutakiwi kutabirikaa
Kuna kale katabia nilikuwa nako nikipiga simu inatumika basi nataka kujua alikuwa anaongea nae jamn kumbe inakeraa basii hadi leo ukitumika masaa 3 siulizu ulokuw unaongea nae
Halafu kwa hawa jinsia ya kike ukiwa easy available the less interested she will be ndio saikolojia ya hawa viumbeNdio hivyo ummiss mwenzako hata Mwezi au Miezi Mzee unapiga mechi za ugenini tu ukirudi uwanja wa nyumbani aah mboni kitaeleweka