Ifikie hatua tuachiane nafasi

Ifikie hatua tuachiane nafasi

Kwa mtazamo wangu, watu wanaopenda kuwafatilia wenzao Kwa kila kitu na kila muda awe mwanamke au mwanaume ni watu ambao naona Kama Wana matatizo ya akili.
🤣🤣🤣Uzi ufungwe
 
Unataka kila saa upigiwe simu au sio? Story unazo sasa maana wengine baada ya salamu niambie nyingii sina jipya halaf anataka umpigie kila saa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo ya simu nyingi ,msg nyingi as if kuna emergency mtu amepatwa na uchungu wa kujifungua halafu ukimrudia unamuuliza vipi ulikua unasemaje anaanza niambie nimekumiss baby yani its real stupid
 
Jamani msitufanyie hivyo [emoji23][emoji23][emoji23] mtuvumilie kuna muda unam mkumbuka sana mwenza wako na ndio tunakua na usumbufu wa hivyo
 
Daaah,Sasa ukitoka kazini akaniambia bby natoka sehemu ni na washkaji nitachelewa kidogo Kuna tatizo gani?yaani Kuna Siri gani ya mkeo kutojua unatoka job muda gani?

Inakua kama kautumwa fulani hivi ,hakuna mwanaume ana enjoy utumwa wa hivyo na hamtadumu au ndiyo kero kila siku ugomvi
 
Kwanza naanza na wewe,uko wapi?mbona umepotea sana jukwaani,umefichwa wapi?na nani?Umemisika[emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ahhhhhh una kesi ya kujibu tuanzie hapo ,nakupeleka mahakamani ni kadai fidia ,umemisika pia my dia ,umenificha halafu unazuga hapa[emoji23][emoji23]
 
Binafsi sielewi Kwa Nini mtu anakasirika akipewa attention na bby wake🤣🤣🤣🤣mi napenda mapenzi ya mawasiliano Kwa sababu Nina experience ya mapenzi ya kutojuana ratiba yanakufaga natural death.....Kikubwa ni kujua ratiba za mwenzio basi
That's it 👊👊👊
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ahhhhhh una kesi ya kujibu tuanzie hapo ,nakupeleka mahakamani ni kadai fidia ,umemisika pia my dia ,umenificha halafu unazuga hapa[emoji23][emoji23]
Nakuangalia tu unavyopotosha wenzio hapa😁😁😁
 
Back
Top Bottom