Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Hizi gari majanga
Kwa nini mkuu?Kifupi kwa Tanzania ukinunua gari aina yoyote ya NISAN tumenunua matatizo
Wakala wao awaambie wajapaniUkiwa na Dualis usihesabu una gari wewe jua una chanzo cha moto.View attachment 3077778
Leo saa 9 usiku imewaka maeneo ya Kimara Kibo
Visa vya Dualis kuwaka vimekuwa vingi sana ikichanganyikiwa inawaka popote
Soma Pia
- Nissan Dualis yawaka moto. Hizi gari zina shida gani?
View attachment 3077779View attachment 3077780View attachment 3077781
Kwa nini zinawaka Tanzania tu?Ukiwa na Dualis usihesabu una gari wewe jua una chanzo cha moto.View attachment 3077778
Leo saa 9 usiku imewaka maeneo ya Kimara Kibo
Visa vya Dualis kuwaka vimekuwa vingi sana ikichanganyikiwa inawaka popote
Soma Pia
- Nissan Dualis yawaka moto. Hizi gari zina shida gani?
View attachment 3077779View attachment 3077780View attachment 3077781
Hizi ni kukatia Bima kubwa tu
Fanya tafiti kwa nini EXTRAIL na ukubwa wake kwa nini inauzwa Bei rahisi sokoni?Kwa nini mkuu?
Fanya tafiti kwa nini EXTRAIL na ukubwa wake kwa nini inauzwa Bei rahisi sokoni?
Ni hitilafu, hilo linaweza kutokea kwenye gari yeyote bila kujali kampuni ni ya aina gani, unless tupewe takwimu zisizoacha mashaka zinazoonesha gari kampuni flani linaongoza kwa visa vya kuwaka moto zaidi
Umesema vyemaTuwe tuna deep dive kabla ya kununua magari. Kuna malalamiko ya miaka mingi sana kuhusu gari za nissan kushika moto na models nyingi sana zimeshakuwa recall kiwandani kwaajili ya repairs.
Tuchimbue kidogo kabla ya kuchoma hela. Poleni lakini.