Ifikie wakati Nissan Dualis na moto wamalize tofauti zao

Ifikie wakati Nissan Dualis na moto wamalize tofauti zao

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
3,651
Reaction score
11,548
Ukiwa na Dualis usihesabu una gari wewe jua una chanzo cha moto.

Leo saa 9 usiku imewaka maeneo ya Kimara Kibo

Visa vya Dualis kuwaka vimekuwa vingi sana ikichanganyikiwa inawaka popote



20240824_085634.jpg
20240824_085644.jpg
20240824_085641.jpg
 
Ni hitilafu, hilo linaweza kutokea kwenye gari yeyote bila kujali kampuni ni ya aina gani, unless tupewe takwimu zisizoacha mashaka zinazoonesha gari kampuni flani linaongoza kwa visa vya kuwaka moto zaidi
 
Back
Top Bottom