Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
-
- #21
Pole sana kwa huyo mhanga. Nimesoma ni kweli units kadhaa zilikuwa recalled back in 2012 kwa sababu ya risks za kuungua. Same kwa X trail.
Huu ndio ushauri wa kufuata. Binafsi pia sipendi kufanya customization coz mwisho wake ni kama huu. Fundi anaungaunga tu viwaya bila kufuata kanuni mwisho gari linawaka moto aseeHizi gari ukiweka tu android radio kwa mafundi kanjanja lazima likukute jambo, ndomana kuna fundi humu kashauri kuwa hizi gari we badilisha tyre na rim tu mambo ya umeme hachana nayo
Hizi gari ukiweka tu android radio kwa mafundi kanjanja lazima likukute jambo, ndomana kuna fundi humu kashauri kuwa hizi gari we badilisha tyre na rim tu mambo ya umeme hachana nayo
Huu ndio ushauri wa kufuata. Binafsi pia sipendi kufanya customization coz mwisho wake ni kama huu. Fundi anaungaunga tu viwaya bila kufuata kanuni mwisho gari linawaka moto asee
Hapa niko pa1 nawee!!Hizi gari ukiweka tu android radio kwa mafundi kanjanja lazima likukute jambo, ndomana kuna fundi humu kashauri kuwa hizi gari we badilisha tyre na rim tu mambo ya umeme hachana nayo
Wanajaribu kudhibiti wizi wa nchina.Asante kwa darasa, kwa nini NISSAN wamefanya mfumo wa umeme wa Dualis uwe na masharti sana unakuwa kama unanunua gari kwa mganga?
Hivi visa vimeripotiwa mara nyingi lakini mamlaka hazisemi chochote. Inapaswa serikali izipige marufuku kuingizwa nchini ili wananchi wasizidi kupata hasaraUkiwa na Dualis usihesabu una gari wewe jua una chanzo cha moto.View attachment 3077778
Leo saa 9 usiku imewaka maeneo ya Kimara Kibo
Visa vya Dualis kuwaka vimekuwa vingi sana ikichanganyikiwa inawaka popote
Soma Pia
- Nissan Dualis yawaka moto. Hizi gari zina shida gani?
View attachment 3077779View attachment 3077780View attachment 3077781
Umenikumbusha nissan presea yangu miaka ya 2000, hakuna rangi nilacha kuona, nikaja kuliuza kwa bei ya kutupa kwa msela flan naye aliishia kulipaki hadi leo.Kifupi kwa Tanzania ukinunua gari aina yoyote ya NISAN tumenunua matatizo
Kama unayo tayari mkuuNaona uamuzi wa busara ni kuachana nazo zinaweza zikakua hata wewe mwenyewe mmiliki na uwapendao
Hivi visa vimeripotiwa mara nyingi lakini mamlaka hazisemi chochote. Inapaswa serikali izipige marufuku kuingizwa nchini ili wananchi wasizidi kupata hasara
Mchina anaibaje?Wanajaribu kudhibiti wizi wa nchina.
Hizi gari zitakua na shida kwenye wiring harness yake android radio ni kisingizio tu,. Maana zipo ambazo zimeungua na hazikuwa na modificationHizi gari ukiweka tu android radio kwa mafundi kanjanja lazima likukute jambo, ndomana kuna fundi humu kashauri kuwa hizi gari we badilisha tyre na rim tu mambo ya umeme hachana nayo
Hizi gari zitakua na shida kwenye wiring harness yake android radio ni kisingizio tu,. Maana zipo ambazo zimeungua na hazikuwa na modification
Imekula kwake mapema sanaInasikitisha sana na kama alikata 3rd party imekula kwake.
Tbs huwa wanakagua nini
Naunga mkono hoja ,kiufupi hazitaki mbwembwe kabisa hasa upande wa umeme.Hizi gari ukiweka tu android radio kwa mafundi kanjanja lazima likukute jambo, ndomana kuna fundi humu kashauri kuwa hizi gari we badilisha tyre na rim tu mambo ya umeme hachana nayo
🤣🤣🤣Wako kimya kama K-VANT fake zimejaa mitaani tu zimewashinda ndio wataweza vyombo vya moto
Sasa mkuu uache radio ya gari ile ya kizamani ushindwe kuweka radio za android au za kisasa! Unaacha radio fm inaishia 88.7 ya nini sasa. Muhimu kwenda kwa mafundi wanaoaminika na muhimu zaidi kuacha kununua magari yenye historia mbaya kwenye majanga kama hilo shetani dualisHuu ndio ushauri wa kufuata. Binafsi pia sipendi kufanya customization coz mwisho wake ni kama huu. Fundi anaungaunga tu viwaya bila kufuata kanuni mwisho gari linawaka moto asee