Ifikie wakati Nissan Dualis na moto wamalize tofauti zao

Pole sana kwa huyo mhanga. Nimesoma ni kweli units kadhaa zilikuwa recalled back in 2012 kwa sababu ya risks za kuungua. Same kwa X trail.
Sawa asante kwa taarifa

Kwa hiyo mpaka sasa tumeona comments za wadau zikisema Nissan Dualis, X-TRAIL na QashQai zina majanga
 
Hizi gari ukiweka tu android radio kwa mafundi kanjanja lazima likukute jambo, ndomana kuna fundi humu kashauri kuwa hizi gari we badilisha tyre na rim tu mambo ya umeme hachana nayo
Huu ndio ushauri wa kufuata. Binafsi pia sipendi kufanya customization coz mwisho wake ni kama huu. Fundi anaungaunga tu viwaya bila kufuata kanuni mwisho gari linawaka moto asee
 
Asante kwa darasa, kwa nini NISSAN wamefanya mfumo wa umeme wa Dualis uwe na masharti sana unakuwa kama unanunua gari kwa mganga?
 
Huu ndio ushauri wa kufuata. Binafsi pia sipendi kufanya customization coz mwisho wake ni kama huu. Fundi anaungaunga tu viwaya bila kufuata kanuni mwisho gari linawaka moto asee
Vijana wanaomiliki Crown hawawezi kukuelewa kabisa mkuu 🤣🤣🤣
 
Ukiwa na Dualis usihesabu una gari wewe jua una chanzo cha moto.

Leo saa 9 usiku imewaka maeneo ya Kimara Kibo

Visa vya Dualis kuwaka vimekuwa vingi sana ikichanganyikiwa inawaka popote

Soma Pia
- Nissan Dualis yawaka moto. Hizi gari zina shida gani?
View attachment 3077778

View attachment 3077779View attachment 3077780View attachment 3077781
Hivi visa vimeripotiwa mara nyingi lakini mamlaka hazisemi chochote. Inapaswa serikali izipige marufuku kuingizwa nchini ili wananchi wasizidi kupata hasara
 
Inashangaza wenye mamlaka wako kimya wao wanachojua ni kupiga hesabu za kikokotoo cha magari wanenepeshe kibunda
 
Hizi gari ukiweka tu android radio kwa mafundi kanjanja lazima likukute jambo, ndomana kuna fundi humu kashauri kuwa hizi gari we badilisha tyre na rim tu mambo ya umeme hachana nayo
Hizi gari zitakua na shida kwenye wiring harness yake android radio ni kisingizio tu,. Maana zipo ambazo zimeungua na hazikuwa na modification
 
Huu ndio ushauri wa kufuata. Binafsi pia sipendi kufanya customization coz mwisho wake ni kama huu. Fundi anaungaunga tu viwaya bila kufuata kanuni mwisho gari linawaka moto asee
Sasa mkuu uache radio ya gari ile ya kizamani ushindwe kuweka radio za android au za kisasa! Unaacha radio fm inaishia 88.7 ya nini sasa. Muhimu kwenda kwa mafundi wanaoaminika na muhimu zaidi kuacha kununua magari yenye historia mbaya kwenye majanga kama hilo shetani dualis
 
Back
Top Bottom