Huyu GENTAMYCINE yupo wapi siku hizi?Bia yetu anakera sana yaani hapa simcheleweshi ashakula block
Ameshanisababishia ban kibao humu jamvini
Mwingine ni GENTAMYCINE au Mzukulu mweupe kichwani..... Shit ngoja niishie hapa
I’m really humbled mkuu wangu [emoji1488]
Huyu GENTAMYCINE yupo wapi siku hizi?
Pengine mimi ni mchoyo wa fadhira au nimejawa na wivu, huwa naamini kuwa ‘ID’ yako ni taasisi inaendeshwa na watu wengi.... kwa zamu kwa maana muda wote iko active.
Siku zote ambazo imetokea nimekwama kitu na kuhitaji usaidizi wa uongozi JF, sijawahi kupata msaada kutoka kwa hao mnaowaita moderators.... ni wewe pekee na kwa muda wowote.
Nilikuwa napenda kuanzia kwa ‘mods’ kwa kuona kesi zangu ni ndogo mno kukufikia, lakini sijawahi kupata muitikio wowote hadi pale nikifika kwako... kwa vyovyote iwavyo naungana na Carlos The Jackal kukupa kongole kwa hilo.
Cheers [emoji1635]
Utakiwa kwenye list yangu Ukimfuati USSRSasa mbona unalazimisha mimi kuwa na chama, namkubali tu ngosha, yaani namkubali kishenzi yaani. Ningekuwa sijaoa ningetafuta msukuma ili kuunga juhudi za ngosha[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeshakupa dawa yako, msalimie Bia yetu mana naye nishamrestishaSasa kwa akili zako mgando unafikiri hiyo ndio itakusaidia kuipa kura nyingi chadema?
Alafu hiyo ni dalili ya kuzidiwa hoja! Kama unaona maoni mbadala hayakufurahishi nenda kwenye magroup yenu ya kichadema
Asante sana kaka.Wakuu,
Kumekuwepo maombi ya wadau wakitaka kuweza kutoona aidha wanachoandika watu flani au kutoona content kutoka forum flani au contents za thread flani tu.
Naam, tumelifanyia kazi hili na sasa unaweza kufanya hivyo.
ZINGATIA: Ignore list yako inakuwa hapa mara zote https://www.jamiiforums.com/account/ignored
MFANO katika PICHA:
Ukitaka kutoona mada za mdau flani (kumradhi USSR nimekutumia kwa mfano), basi bonyeza jina lake utaona option ya IGNORE - bonyeza hapo.
View attachment 1463904
Ukitembelea profile yako, eneo la IGNORE list utaona hivi:
View attachment 1463905
Kama unataka kutoona contents za forum flani, unaenda kwenye forum husika na utaona kuna hiyo button ya IGNORE; bonyeza na utaona hivi:
View attachment 1463903
View attachment 1463909
Aidha, unaweza kuchagua ku-IGNORE thread moja moja badala ya forum nzima ili uweze kupata kile kitu unataka.
View attachment 1463907
Mi nilisha wapatia haki yao kitambo sanaHapa Bia yetu na Magonjwa mbadala kwisha habari zao
Mkuu, samahani kama kwa swali langu hili, jibu lilikwisha tolewa. Ni hivi, ninaweza kuwa/kum-fahamu aliye/walio ni ignore?Hapana, haiwezekani jina langu litumiwe na mtu kwa niaba yangu.
Kila mmoja katika team anatekeleza wajibu wake. Nashukuru kwa recognition
Mhhhh, hapana. Unadhani ni sawa kuweka hiyo? Tutaingilia faragha au kuwakatisha tamaa wasioweza kuvumilia kwa namna flani.Mkuu, samahani kama kwa swali langu hili, jibu lilikwisha tolewa. Ni hivi, ninaweza kuwa/kum-fahamu aliye/walio ni ignore?
Hapa Bia yetu inamuhusu hii kitu 😎Wakuu,
Kumekuwepo maombi ya wadau wakitaka kuweza kutoona aidha wanachoandika watu flani au kutoona content kutoka forum flani au contents za thread flani tu.
Naam, tumelifanyia kazi hili na sasa unaweza kufanya hivyo.
ZINGATIA: Ignore list yako inakuwa hapa mara zote https://www.jamiiforums.com/account/ignored
MFANO katika PICHA:
Ukitaka kutoona mada za mdau flani (kumradhi USSR nimekutumia kwa mfano), basi bonyeza jina lake utaona option ya IGNORE - bonyeza hapo.
View attachment 1463904
Ukitembelea profile yako, eneo la IGNORE list utaona hivi:
View attachment 1463905
Kama unataka kutoona contents za forum flani, unaenda kwenye forum husika na utaona kuna hiyo button ya IGNORE; bonyeza na utaona hivi:
View attachment 1463903
View attachment 1463909
Aidha, unaweza kuchagua ku-IGNORE thread moja moja badala ya forum nzima ili uweze kupata kile kitu unataka.
View attachment 1463907
Mfano umeangukia sehemu sahihi kabisa hapa nadesa mwanzo mwishoMaxence Melo Ume create tension ambao haikuwa na ulazima huo mfano wako unaoneka kama ulikuwa unajaribu kudeliver ujumbe fulani Huyo USSR anajulikana ni Praise team sasa hakukuwa na haja kumtolea mfano mana nimepita nyuzi zake kadhaa watu wanamuambia ndo mana ametolewa mfano kwenye Uzi wako huu, Kuna Famous wengi humu ungewatumia ila sio USSR mana naamini pia atakuwa amekuwa affected psychologically
Kuna hii tena, thread ya aina moja, kusomeka zaidi ya mara moja. Yaani, kwa mfano, thread hii nimeipita, lakini huko chini nakutana nayo tena, hata zaidi ya mara mbili. Naomba na hilo kama linawezekana, lisawazishwe!Mhhhh, hapana. Unadhani ni sawa kuweka hiyo? Tutaingilia faragha au kuwakatisha tamaa wasioweza kuvumilia kwa namna flani.
Wasio na majibu ya hoja wanafahamika.Sasa kwa akili zako mgando unafikiri hiyo ndio itakusaidia kuipa kura nyingi chadema?
Alafu hiyo ni dalili ya kuzidiwa hoja! Kama unaona maoni mbadala hayakufurahishi nenda kwenye magroup yenu ya kichadema
Ukijisikia kula uroji njoo nikutembeze viunga vya forodhan tukamalizie na Alksus hapo mchamba wima!Nitakushtua nikiwa mitaa hiyo mkuu wangu
But ukibaki na watu unaokubaliana nao humu mtandaoninkutakuwa boring kinoma .Sasa hivi ni mwendo wa kuwatembezea rungu la ignore list MATAGA wote.
Bora angenitolea mfano mie niwe supastaaMaxence Melo Ume create tension ambao haikuwa na ulazima huo mfano wako unaoneka kama ulikuwa unajaribu kudeliver ujumbe fulani Huyo USSR anajulikana ni Praise team sasa hakukuwa na haja kumtolea mfano mana nimepita nyuzi zake kadhaa watu wanamuambia ndo mana ametolewa mfano kwenye Uzi wako huu, Kuna Famous wengi humu ungewatumia ila sio USSR mana naamini pia atakuwa amekuwa affected psychologically