IGP Camillus Wambura: Rais Samia umefanya mambo ambayo yalitakiwa kufanyika kwa Miaka 50

Hivi hawa watekaji Ndiyo donda sugu la awamu hii? Kwenye hili .......................
 
K
Kwa hiyo kamzidi mpaka kipenzi chetu Magufuli,kweli siasa ni zaidi ya madawa ya kulevya
 
Huyu IGP wa wapi? Anasifia mtu ambaye anatakiwa kuhakikisha anafuata taratibu za uchaguzi? Kwa hiyo analeta picha gani? Na bado kuna mbwa za chaubwabwa zinaamini kwenda kwenye uchaguzi.
 
Kweli amekopa deni ambalo lilipaswa kukopwa kwa miaka 50. Mkuu wa Jeshi la Polisi badala uongelee mambo ya usalama wa raia na mali unatumika kutudanganya mchana kweupe. Sema mme badhiri mali saana mpaka mnateteana.
NO REFORMS NO ELECTION
Huyo askari wake wafiraji na hakemei inaelekea anapoenda sana
 
wewe daima si umezoea kupotoshwa na vibaka wa kisiasa,
jifunze kuupokea ukweli kama huo wa IGP dhidi ya utendaji wa DR.SAMIA SULUHU HASSAN
Kama mimi nimepotoshwa itoshe kusema wewe umekengeushwa na siasa.
 
Tulishayasikia, umeleta kwasababu ipi, ndio ukweli amefanya reforms kubwa sana
 
Na kweli maana ni mara ya kwanza zaidi ya miaka 50 tumejua kwenye account ya IGP kuna bilioni 1 na ushee bila kujua anafanya biashara gani akiwa ofisini.
 
Kwa mitazamo kama hiyo ndio maana viongozi wetu wanakosa ile shauku kufanya maendeleo na kuendelea kubaki nyuma kama nchi, na hapo mfano ukihoji kwamba mbona bado tuna wanafunzi wanakaa chini kwa kukosa madawati tu hadi leo hii utaambiwa hii nchi kubwa huwezi kumaliza matatizo yote.
 
Siku moja itabidi watu wote wapimwe kilevi cha bangi .
Kuna watu hawastahili kabisa kukalia viti vya ofisi za umma .

Kama kuna Mungu basi Mwaka huu mpaka 2030 atajulikana .
Umenichanganya kidogo.
Sijaelewa hiyo "...mpaka 2030...) unalenga nini hasa!
Lakini "mwaka huu" sioni utata wowote juu yake.
 
IGP 3.5 ni Uongo inazidi anakunja kama 15
 
No Reforms No Election
 
Hakuna IGP anaelipwa 3.5M hayupoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…