IGP Camillus Wambura: Rais Samia umefanya mambo ambayo yalitakiwa kufanyika kwa Miaka 50

Chawa...........
 
Huyu naye nichawa tu kama kina Lucas Mwashambwa
 
Kasema Spika Tulia alimsimulia Rais kafanya mambo ya miaka 50.

Bilionea Wambura yeye binafsi alikuwa hajui Rais kafanya nini. Spika Tulia ndo kamwambia.

Vichwa vinavyotutawala ndo hivi.
 
wewe daima si umezoea kupotoshwa na vibaka wa kisiasa,
jifunze kuupokea ukweli kama huo wa IGP dhidi ya utendaji wa DR.SAMIA SULUHU HASSAN
We punguani kweli majizi yanaiba we unaimba mapambio hapa jf. utakuwa unanufaika mahali mjinga ww.
 
NI KWELI KABISAAAAA👣 MAMA KAFANYA MAMBO MAKUBWA SANA AMBAYO YANGEPASWA KUFANYIKA HATA KWA ZAIDI YA MIAKA 50 ,
KAMA
1.UTEKAJI KWA IDADI KUBWA
2.ULAWITI NA UBAKAJI UPO JUU SANAAA
3.UONDOSHAJI WA WAFANYAKAZI WA KIUME SERIKALINI N.K
KWAHIYO NI BORA SANA .
MAMA MITANO TENA
 
Yaani kakopa 1bn halafu kanunua zote bond. ***** ukifuatilia huo mkopo haulipwi hata senti ni rushwa atalipa mtu mwingine. Akope b kwa biashara ipi au mshahara upi wa polisi hawa ninaowajua?
Hakuna mkopo hapo, ni danganya toto tu. Mkopo umetumika kutakatisha pesa haramu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…