IGP Camillus Wambura: Rais Samia umefanya mambo ambayo yalitakiwa kufanyika kwa Miaka 50

Huko salary scale sio kubwa, huo mshahara sidhani hata MakaMishna wa tra wanafika, mkikaa kwenye vijiwe nyie ndio mnasema tra mshahara milioni10 kumbe uongo mtupu
Polisi mishahara yao midogo wanaishi kwa rushwa. rushwa ndio kubwa hata wakubwa wanatuma wadogo wakakusanye wawaletee ofisini. Hata TRA mishahara ya kawaida ila rushwa ndio mpango mzima.
 
Polisi mishahara yao midogo wanaishi kwa rushwa. rushwa ndio kubwa hata wakubwa wanatuma wadogo wakakusanye wawaletee ofisini. Hata TRA mishahara ya kawaida ila rushwa ndio mpango mzima.
Tra wako juu More than two times Kwa salary scale compared to police, of course huko kote ni magumashi yanafanyika
 
Cheo ni kama koti leo unacho kesho unavua unabaki raia,siku zinakuja na hazizuiliki kila mtu atatoa hesabu yake na uzuri siku hizi tuna VAR na huko mbele kutanoga sana.
 

Mnona anaongea kama CHAWA. Mwenzenu nilishamsahau IGP kwa jina. Murilo alokuwa amemuovershadow kwa muda mrefu.
 
Hebu ataje tu hata mawili! Upumbavu mtupu! Sina hakika kama huyu nguchiro anajua kama SGR imesimama leo mwaka wa pili huu. Sina hakika kama anafahamu MV. Victoria hapa kazi tu sasa hivi imesimama zaidi ya miezi mitatu sasa! Aliyefanya mambo makubwa ndani ya muda mfupi ni Magufuli tu hizi zingine ni takataka!
 
Sababu bank account yako imejaa pesa plus bonds ulizonunua kwa ajili yakukamilisha maelekezo toka juu kuuwa watanzania wanaokwenda tofauti na CCM
 
Nilikuwa najua Mwijaku na baba levo wamefuzu kwenye uchawa ila kumbe inabidi wakasome Tena, kumbe wapo wabobezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…