DOKEZO IGP ingilia kati kuhusu huyu Tapeli wa Dodoma Egron Rweyemamu aka Jenerali Mwamwega

DOKEZO IGP ingilia kati kuhusu huyu Tapeli wa Dodoma Egron Rweyemamu aka Jenerali Mwamwega

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nadhani wewe ndio huelewi maana ya private investigator. Haimaanishi kufanya kazi kwa siri au kujificha. Lazima ofisi iwepo, lazima utambulike kisheria ili kuwe na namna ya wateja wako kukufikia/kukupata.

Au wewe wateja wako wanakupata vipi?
Kuhusu wateja Kuna jinsi ya kunipata. Hiyo naomba ibaki Siri mpaka mtuhumiwa akamatwe na kupelekwa polisi.
 
Jamaa anajenga urafiki na wewe kwa kuangalia status yako. Anakuingia kwa gia kwamba yeye ni Generali wa JWTZ kwa maana ya cheo karibia na CDF, ukikubali tu umeliwa. Atajifanya kukuanganisha na Viongozi wakubwa .

Sasa ana simu nyingi so, anaweza kukudanganya kwamba kesho Waziri Mkuu atakupigia. Halafu kesho kweli unapigiwa simu na mtu mwenye sauti ya Waziri Mkuu kumbe Wana mtambo wa kuigiza sauti kwenye simu zao, ukisikia hivyo Unaingia line.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Punguza utani kwenye serious issues. System ilivyooza ndio inakupa kiburi. Mimi siku kamati polisi ndio wakukukamata. Sasa polisi wanakuogopa Sana.
Huwa natumia akili kidogo kwenye kuzinyaka pesa.......shida nyie akili zenu ni za degree,masters na PhD!
 
Mkuu ninafahamika na nipo kisheria. Ila for the purpose of this case siwezi kujiexpose hapa kwa kutaka jina na nilipo , Hawa watu wananitafuta Sana. Hii kesi ni nzito nimeipeleleza kwa muda mrefu tangu mwezi wa kumi na mbili mpaka mwezi wa nne ndio nimefikia conclusion kwamba Generali Mwamwega ni Engineer Fulani anayetumia kampuni yake ya ujenzi kuwaibia na kublack mail wateja wake.
Acha kujipa masifa.....sisi hatukutafuti na hatujawahi kukutafuta....
Wewe ndio unalilia sana hapa jamii forum!!!
 
Sema watu wengi mnaotapeliwa huwa hamna akili na mnapenda shortcut. Ukifuata taratibu za kutoa gari bandarini huwezi kutapeliwa. Hapafu pia Jenerali huwezi kumwona hovyohovyo. Huyo ni mtu mwenye ulinzi na akifika sehemu lazima mgundue kuna mtu mzito katimba. Sasa huyo Jenerali anayezagaa bandarini ni jenerali wa jeshi gani? Mimi naona azidi kuwatapeli tu wapumbavu wasiotaka kufuata utaratibu.
Ni kweli aliyetapeliwa naye alijipeleka kijinga mpaka kupigwa milioni mia mbili na ushee. Walimtengenezea mtandao wa Viongozi alikuwa ni kweli kumbe uongo.
 
Back
Top Bottom