PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Akikushinda mtafute Mng’oa kucha. Mtu pekee aliyewahi kutokea humu JF, alilalamika kama wewe akachukua hatua kote hakuupata haki yake.Nimesikitika Sana kwa mtu kutumia jina la Waziri Mkuu, Rais wa Zanzibar na cheo Cha jeshi JWTZ halafu anaogopwa. Huyu mtu Jenerali Mwamwega hayupo JWTZ na Wala hafanyi kazi Ikulu ya Zanzbar ila anatapeli watu wengi kwa jina Hilo.
Hiyo kesi tulipeleka kwa RCO wa Mkoa na hata Kuna wapelelezi tumewatumia na kuwapa ushahidi wote ila wakifika kwa Jenerali Mwamwega wanakimbia, Sasa hatujui huyo jamaa ana nguvu kiasi gani mpaka watu wanakimbia.
Hata hapa JF Jana nimeweka ushahidi wote kwenye fichua maovu ila wameitupilia mbali. Huyu jamaa anaoneka ameikamata system yote. Hiyo milioni mia mbili aliyotapeli inaonekana kagawa kwa watu wengi.
Ila Kama mpelelezi nitapambana mpaka mhanga wa huu utapeli apate haki yake.
Akamtangazia yule Hakimu kwamba ifikapo siku fulani hajapata haki yake basi huyo hakimu aage ndugu jamaa na marafiki kwani lazima amuue. Na kweli Hakimu akafa.
Mng’oa kucha alipomaliza mission yake hata hapa JF akatoweka kabisa, uzi wake ukafutwa lakini akawa maarufu nchi nzima