DOKEZO IGP ingilia kati kuhusu huyu Tapeli wa Dodoma Egron Rweyemamu aka Jenerali Mwamwega

DOKEZO IGP ingilia kati kuhusu huyu Tapeli wa Dodoma Egron Rweyemamu aka Jenerali Mwamwega

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Anatumia simu. Hiyo simu yake anaweza kutwist sauti ya Waziri Mkuu, Rais Mwinyi na watu wengine. Jamaa ni shida. Na washindwa kumkamata kila mtu anamgwaya.

Kwenye hili makampuni ya simu na tcra hawakwepi. Walichukua alama zetu za vidole kwa ahadi kwamba hatuta tapeliwa tena! Lakini cha kushangaza kuna malalamiko kibao siku hizi ya issue za utapeli. Sikui hawa akina TCRA na mitandao ya simu wanafanya nini.
 
IGP tunakuomba uingilie kati kuhusu huyu Tapeli anajiita Generali Mwamwega ingawa jina lake halisi anaitwa Egron au Osward Rweyemamu. Huyu jamaa anatapeli kupitia kampuni fake ya ujenzi inaitwa one to focus, mpaka uje ushtuke alishakuingiza mjini . Huyu Jenerali Mwamwega anadai yeye ni Jenerali wa jeshi na kwamba anafanya kazi Ikulu Zanzibar.

Utapeli wake unafanyika Kama ifautavyo.

1. Kwanza anatumia kampuni ya ujenzi Kama njia ya kupata watu wa kuwatapeli. Kwa hivyo yeye anatapeli tu wateja wa Hiyo kampuni ambayo haipo popote. Hiyo kampuni uchwara ya ujenzi ambayo hata haijasajiliwa, inaitwa one to focus ipo Dodoma na Dar. kwenye hiyo kampuni huyo Generali Mwamwega ndio mmiliki, halafu fundi mkuu ni huyo Egron Rweyemamu. Anajiita Eng Mac. Wanachofanya wanamsoma mteja anahusika na Nini halafu wanamtengenezea mchezo. Ingawa huyo Jenerali na Eng Mac ni mtu mmoja.

2. Pili. Wanatumia majina ya Viongozi kuibia watu. Huyu Jenerali Mwamwega anatumia jina la Waziri Mkuu na jina la Rais wa Zanzibar kuibia watu. Utajiuliza anatumiaje majina ya Viongozi. Huyo Jenerali Mwamwega anakifaa Cha kutwist sauti ya viongozi. So anaweza kukuambia kesho Waziri Mkuu atakupigia saa Saba mchana umweleze tatizo lako. Na kweli kesho yake saa Saba mchana Waziri Mkuu anakupigia, kwa sauti hii hii ya Mh Majaliwa. Hapo wengi humuamini na kuingia kingi. Na ameliza wengi Sana mpaka huruma.

3. Tatu, Akishakuunganisha na hao Viongozi uchwara anahack simu yako. Kwa hivyo mipango yako yote anakuwa anaijua hivyo anakuwa anakutengenezea plan ya kukutapeli kupitia hacking. So Kama unataka kuagiza gari atajua, Kama unataka kununua kiwanja atajua tu. So yeye atakuwa anakupigia simu Kama kukudadisi ili atengeneze Dili la kukupiga.

4. Nne. Wanakubambikizia kesi. Kwa hivyo wanaweza kukutengenezea kesi ya uongo kama madawa ya kulevya au utakatishaji fedha au mauaji halafu wataitumia hiyo kesi kukufilisi mpaka mwisho na wakishaona huna pesa, wanavunja mkataba wa ujenzi na kukuambia watakubaliana na SUMA JKT wamalize ujenzi hapo wamekuacha mweupe kabisa.

O788216770 MWINYI HASSAN
Hiyo ndio namba wanayotumia kudanganya ni namba ya Rais wa Zanzibar. Hivyo mtu akituma pesa kwa jenerali Mwamwega na kuona hilo jina la Airtel Money limekuja Mwinyi Hassan anaamini ni kweli anafanya kazi Ikulu Zanzibar.

MC EGLON RWEYEMAMU EQUITY BANK ACC No 3010111780864
Hiyo ni namba ya akaunti ya MC Eglon ambayo pia inatumika kulipia pesa za wizi.

Mc Eglon Rweyemamu 0766447244
Hii ni namba ya MC Eglon Rweyemamu. Huyu ndio mtuhumiwa mkuu. Ndio anajifanya Generali Mwamwega.

Hivyo tunakuomba IGP ingilia kati, huyu tapeli amelishika jeshi hawafurukuti kwake. Hagusiki na Wala ukipeleka malalamiko Wala hawashughuliki. So ni kwamba jamaa ana mtandao mkubwa na ni kazi kuumaliza. Wanakudanganya mpaka mwisho.
 
Kwenye hili makampuni ya simu na tcra hawakwepi. Walichukua alama zetu za vidole kwa ahadi kwamba hatuta tapeliwa tena! Lakini cha kushangaza kuna malalamiko kibao siku hizi ya issue za utapeli. Sikui hawa akina TCRA na mitandao ya simu wanafanya nini.
Kweli kabisa
 
Ukiona hivyo boss nayeye ana makando kando kweli.

Hujafanya kosa unakubalije kosa!!!milioni 200 unazitoaje kwenye kipato halali kumhonga mtu anayekutuhumu tu!!!!
Ndio shida inaanzia hapo
 
Kwenye kesi za matapeli polisi hakuna wanachofanya zaidi ya kula rushwa pande zote mbili. Utaambiwa leta laki mbili ya kum 'track' alafu wakimpata hafiki kituoni, anawatuliza kwa hela. Baada ya hapo wanaanza kukuzungusha.
Ni kweli hata kwenye hii kesi nimeona, polisi wanamlinda kwa nguvu zote.
 
Jana nimeweka ushahidi wote kwenye fichua maovu, JF wameupiga Chini. Imenifanya nijiulize maswali mengi.
 
Nimesikia kuwa huyo generali amewaambia polisi wakimkamata itaipindua Nchi na kuifuta polisi.kwa hiyo mwacheni tu huyo field marshall maana hakuna wa kumkamata
 
Habari, naomba nitoe taarifa kwa JWTZ ya kwamba Kuna mtu anajiita Generali Charles Mwamwega na kudanganya watu yeye ni makubwa jeshini na anafanya kazi kwenye ofisi ya Rais wa Zanzibar Ikulu. Ukienda pale ikulu Zanzibar hayupo mtu Kama huyo na ukienda kwenye data base ya JWTZ Hilo jina halipo kabisa, ukiachana na cheo Cha uongo Cha Generali ambacho ni kimoja tu kwa CDF.

Mpaka Sasa ameshatapeli watu wengi lakini hachukuliwi hatua yeyote. Maana Mimi najua Generali wa JWTZ ni mmoja inakuaje wawepo majenerali wawili?. Pia huyu Generali anatumia jina la Waziri Mkuu kuibia watu Magari pale bandarini. JWTZ ingilieni kati raia wanalizwa, wasaidieni.
Atachukuliwaje hatua wakati wewe mwenyewe umekiri hayupo huko Zanzibar wala kwenye database za JWTZ
 
Nimesikia kuwa huyo generali amewaambia polisi wakimkamata itaipindua Nchi na kuifuta polisi.kwa hiyo mwacheni tu huyo field marshall maana hakuna wa kumkamata
Sio kwa kumuogopa huko aiseeh. Yani polisi wanamgwaya sijajua kwanini
 
Back
Top Bottom