econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
- Thread starter
- #81
Ni hivi anajenga unafiki na wewe na kukuaminisha yeye ni mtu mkubwa jeshi kwa cheo Cha Generali karibia na CDF. Hivyo atajifanya anafahamiana na Waziri Mkuu. Sasa yeye inaonekana ana teknolojia ya kutwist sauti ya viongozi. So anakupigia na kumwambia nimeongea na Waziri Mkuu atakupigia baadae akusaidie kulipia gari kutoka bandarini. Ukikubali tu umeliwa. Kweli utapigiwa Simu na kuongea na fake Waziri Mkuu baada ya hapo utawaachia wenyewe walitoe. Ili walitoe kwenye reli wanakutengenezea kesi ya utakatishaji. Wakati wewe unahangaika na kesi ya utakatishaji wao Wana ondoa gari bandarini kwa njia zao wanazojua.Fafanua