DOKEZO IGP ingilia kati kuhusu huyu Tapeli wa Dodoma Egron Rweyemamu aka Jenerali Mwamwega

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nadhani wewe ndio huelewi maana ya private investigator. Haimaanishi kufanya kazi kwa siri au kujificha. Lazima ofisi iwepo, lazima utambulike kisheria ili kuwe na namna ya wateja wako kukufikia/kukupata.

Au wewe wateja wako wanakupata vipi?
Kuhusu wateja Kuna jinsi ya kunipata. Hiyo naomba ibaki Siri mpaka mtuhumiwa akamatwe na kupelekwa polisi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Punguza utani kwenye serious issues. System ilivyooza ndio inakupa kiburi. Mimi siku kamati polisi ndio wakukukamata. Sasa polisi wanakuogopa Sana.
Huwa natumia akili kidogo kwenye kuzinyaka pesa.......shida nyie akili zenu ni za degree,masters na PhD!
 
Acha kujipa masifa.....sisi hatukutafuti na hatujawahi kukutafuta....
Wewe ndio unalilia sana hapa jamii forum!!!
 
Ni kweli aliyetapeliwa naye alijipeleka kijinga mpaka kupigwa milioni mia mbili na ushee. Walimtengenezea mtandao wa Viongozi alikuwa ni kweli kumbe uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…