DOKEZO IGP ingilia kati kuhusu huyu Tapeli wa Dodoma Egron Rweyemamu aka Jenerali Mwamwega

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ndugu sio kwamba sichukuliwi hatua hapana,shida watanikamataje???
Natumia mbinu za kisasa kazini....
Acha niendelee kuwaliza!!!
Sasa mbinu za kisiasa wakati tunakujua. Sema unahonga mapolisi na wapelelezi. Maana imegundulika baada ya kupeleza ni kwamba hiyo simu ya General Mwamwega anayotumia imeandikwa Mwinyi Hassan ila ukifuatilia jina lako linakuja. Nadhani umeshaelewa. Tutakukamata tu.
 
Sasa ikiwa mtu aliagiza kwa bf ameibiwaje? Je huyo jeneral ana kampuni ya clearing?
Walimuwahi bandarini Kuna taarifa walimpa akawaamini ndio wakamzima gari, ili kumpoteza wakamtungia kesi ya utakatishaji fedha na kuhonga mapolisi wakumtusha huyo bosi na kumpangia fine ya milioni 60.
 
Mimi Ni major genarali Nani anakusumbua njoo pm
Hanisumbui Mimi Bali bosi mmoja. Mimi ni kama mpelelezi ninayefuatilia Hilo Jambo maana huyo bosi tupo Taasisi moja na kashapigwa milioni mia mbili mpaka muda huu.
 
Kiongozi mbona unaenda mbali sana huyo kamripoti kwa MP utakaye muona maana hiyo ndo kazi yao kudeal na wanajeshi wenzao MP watamshughulikia
Wala sio Mwanajeshi sema kakamata wajinga anawadanganya yeye ni CDF na Wala hawashtuki. Kawapiga pesa nyingi halafu kawatengenezea kesi za utakatishaji fedha wanahangaika mpaka Leo kulipa faini. Na faini yenyewe wanamlipa huyo huyo Generali Mwamwega. Ni shida Sana huyo jamaa hagusiki.
 

Anatumia simu, au anakuja kwako na kuanza utapeli.
 
Ukizubaa imekula kwako,,,changamka Acha kulia kulia Dogo
Umesoma Uzi wangu. Mimi ni mpelelezi tu kwenye hili sakata. Ila mpaka Sasa ninaishahidi mwingi wa huyo Generali Mwamwega.
 
Shida Mimi sio aliyetapeliwa ila nimepeleza na kugundua kwamba huyo bosi anaibiwa. Huyo Generali Mwamwega kashampiga milioni mia mbili na kumdanganya huyo bosi kuwa ana kesi ya uhujumu uchumi atakamatwa. Baadae akamdanganya ameongea na Waziri Mkuu kuwa atamsaidia asikamatwe yeye alipe milioni 60. So bosi mpaka analipa milioni 60 Kama faini ya serikali. Cha kushangaza analipia fine kwa huyo huyo Mwamwega.
 
Ulisema anaitwa mwamwega au Dr. Charles A. Mwamwaja..

maana Nimefatilia Hili Ni jina nililopata So nijibu Nikpe taarifa kuhusu Hilo..
Ni Charles Mwamwega au Charles Mwamwaja
 
Huyo Generali alikuwa Kama mgonjwa anahitaji msaada wa matibabu. Cha kushangaza huyo bosi anashindwa kuhoji inakuwaje Generali wa Jeshi mwenye cheo Cha CDF anakosa bima ya Afya. Ila duniani tunatifautiana.
 
Ulisema anaitwa mwamwega au Dr. Charles A. Mwamwaja..

maana Nimefatilia Hili Ni jina nililopata So nijibu Nikpe taarifa kuhusu Hilo..
Ni Charles Mwamwega au Charles Mwamwaja
Huyu mwamwaja nadhani ni lecture kama sijakosea
 
Labda hamkumuelewa, anaweza kuwa ni jina lake ni jenerali kama ulimwengu 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…