DOKEZO IGP ingilia kati kuhusu huyu Tapeli wa Dodoma Egron Rweyemamu aka Jenerali Mwamwega

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kuna utapeli unaendelea uraiani na unahusisha jina la Ikulu. Ikulu ya Jamhuri ya Muungano na Ikulu ya Zanzibar.

1. Utapeli Kwa kutumia jina la Rais wa Zanzibar.
Tapeli Mkuu anajiita Generali Charles Mwamwega anadai kuwa yeye ni Generali kamili Kwenye JWTZ maana mwaka Jana alikuwa na cheo Cha Luteni Generali. Huyu Generali Charles Mwamwega anadai yeye ni Katibu kwenye Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar. Ila ukienda kwenye data base ya JWTZ hakuna jina lake, Generali ni mmoja tu Generali Jacob Nkunda. Hata Hilo jina lake halipo kwenye data base ya jeshi na bado anaendelea kutapeli watu Kwa jina la Rais wa Zanzibar.

Namba ya simu anayotumia ni namba ya Airtel yenye jina Mwinyi Hassan 0788216770. Hii namba ndio anatumia kutapeli watu akidai yeye yupo karibu na Rais Mwinyi Kama Katibu wake hivyo anatumia Namba ya Rais. Na Cha kushangaza kwenye mawasiliano ya huyo Generali Mwamwega na wahanga wake huwa anawajulisha kuwa ongea na Rais, Ina maana Hawa wahanga huongea na mtu anayejitanabaisha Kama Rais wa Zanzibar Hassan Mwinyi na kuingia kwenye mtego wa utapeli . Hivyo pesa nyingi zimetumwa kwenye hiyo namba ya Mwinyi Hassan.

Cha kushangaza Ikulu ya Zanzibar ipo kimya pamoja na malalamiko yote yanayoendelea. Hili suala lishafika kwa RCO Temeke na kwa wapelelezi mbali mbali , ila wapo kimya na wameamua kuwaacha wahanga wakitapeliwa bila msaada wowote.

Katika upelelezi wangu nimegundua ya kwamba huyu Generali Mwamwega na Egron Rweyemamu ni mtu mmoja. Maana pesa zinatumwa kwa wote Generali Mwamwega na pia Egron Rweyemamu, na ukipiga simu ya Generali Mwamwega anayeongea ni huyo Egron Rweyemamu.

Ushahidi kutoka kwa mhanga mmoja huu hapa.

Pesa zilizotumwa kwa

O788216770 MWINYI HASSAN

MC EGLON RWEYEMAMU EQUITY BANK ACC No 3010111780864

Tarehe 5/10/2022.
Alituma 8,700,000 Tshs kwa Mwinyi Hassan O788216770.

Tarehe 11/10/2022.
Alituma 4,900,000 Tshs kwa MC EGLON RWEYEMAMU EQUITY BANK ACC No 3010111780864

Alituma 2,065,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

Tarehe 25/10/2022.
Alituma 2,000,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

Tarehe 4/11/2022.
Alituma 300,000 kwa Mceglon Rweyemamu

Tarehe 15/11/2022
Alituma 800,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770
Tarehe 14/11/2022
Alituma 500,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

Tarehe 20/11/2022
Alituma 200,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

Tarehe 24/11/2022

Tarehe 30/11/2022
Alituma 300,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

Tarehe 7/1/2023
Alituma 1,900,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

Tarehe 15/1/2023

Tarehe 16/1/2023
Alituma 1,600,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

Alituma 1,000,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

Tarehe 15/2/2023
Alituma 3050,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

Tarehe 3/3/2023

Tarehe 13/3/2023
Alituma 1,210,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

Tarehe 31/3/2023

Tarehe 1/4/2023
Alituma 150,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

. Tarehe 3/4/2023
Alituma 290,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

21. Tarehe 7/4/2023

22. Tarehe 7/4/2023
Alituma 250,000 kwa Mc Eglon Rweyemamu 0766447244

23. Tarehe 18/4/2023

24. Tarehe 7/4/2023
Alituma 400,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

25. Tarehe 8/5/2023

26. Tarehe 28/6/2023
Alituma 4,950,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

27. Tarehe 19/12/2023
Alituma 2,000,000 kwa Mc Eglon EQUITY BANK ACC No 3010111780864

28. Tarehe 21/12/2023
Alituma 11,000,000 kwa Mc Eglon EQUITY BANK ACC No 3010111780864

29. Tarehe 22/12/2023
Alituma 2,300,000 kwa Mc Eglon EQUITY BANK ACC No 3010111780864

JUMLA 54,465,000

Huo hapo juu ni ushahidi wa mhanga mmoja wa Generali Mwamwega kwa kutumia jina la Rais Mwinyi na Ikulu Zanzibar. Na Cha kushangaza pamoja na vyombo vya Dola kutaarifiwa vipo Kimya.

Niseme ukweli , ni aibu sana jina la Rais wa Zanzibar kutumika kwenye utapeli na hakuna hatua inachukuliwa . Hii ni hatari Sana.

2. Pia wametumia jina la Waziri Mkuu kutapeli watu kuhusu kutoa Magari bandarini.

Ushahidi huu hapa.

SMS YA Tarehe 3/12/2022 Saa 18:28
Habari za muda tena, Waziri Mkuu anaomba muwasiliane. Shukrani.

SMS YA Tarehe 3/3/2023 Saa 23:02
Ombi langu kwako na watu waliopo nje ya hospitali hapa naomba sana mnisaiidie niondoke mahali hapa nimepata kuongea na Mh Waziri Mkuu kwa kifupi akanielekeza kwako, basi nakuomba sana unisaidie nitoke hapa sina huduma tena hapa niko hapa tuu kwakuwa sijalipa basi.

SMS YA Tarehe 12/4/2023 Saa 15:25
Kweli kabisa ila naona Mh Waziri Mku ametuma pendekezo na naona ni jema kabisa wewe unalionaje?

SMS YA Tarehe 28/6/2023 Saa 13:04
Sawa nmeona, isipokua gharama alisema Mh Majaliwa kwamba atashughulikia nusu hivyo inapungua 420,000. Asante.

Hizo SMS hapo juu ni kuonesha ya kwamba huyo tapeli anatumia jina la Waziri Mkuu kutapeli. Hapo alikuwa anaomba pesa ya matibabu na nyingine anadai Waziri Mkuu atamlipia nusu ya pesa ya kutoa gari.

3. Tatu huyo Tapeli anatumia jina La Rais Samiah kutapeli.

Ushahidi huu hapa.

SMS YA Tarehe 13/3/2023 Saa 15:09
tafadhali wasiliana na Mh Rais, asante

Kuhusu hili la kuwasiliana na Rais naomba nilitunze Kwa Sasa.

Ombi langu ni Ikulu itoke ikanushe hili jambo haraka iwezekanavyo la sivyo lotachafua image ya Ikulu na Rais.
 
Watanzania wapuuzi sana!

Sasa Rais Mwinyi atake mumtumie hela kwenye simu kweli? Hivi Rais gani hiyo anataka umtumie hela kwenye simu???

Endeleeni kuibiwa wajinga nyie. Hao ni matapeli tu na wameona nyie wajinga ndo mana wanaendelea kuwapiga!
 
Ni wapuuzi kweli, ila kutumia jina la Rais kutapeli ni sahihi. Kutumia cheo Cha jeshi na Ikulu kutapeli raia na hakuna unachofanywa, kiusalama imekaaje?
 
Chanzo au kiini hasa cha makubaliano kilichopelekea kutuma miamala ya fedha kam hiyo hasa ni Nini?
 
Watanzania wapuuzi sana!

Sasa Rais Mwinyi atake mumtumie hela kwenye simu kweli? Hivi Rais gani hiyo anataka umtumie hela kwenye simu???

Endeleeni kuibiwa wajinga nyie. Hao ni matapeli tu na wameona nyie wajinga ndo mana wanaendelea kuwapiga!
Hahahah mhe. rais ana BOT akuombe wewe utume pesa kwa mpesa sijui jamani mbonabujinga huu..
 
Hivi mtu kama mimi sina relation yeyote na raisi Mwinyi unaniombaje million 4. Kuna namna hilo kundi analolitapeli ni aina flani ya watu.
 
Kuna utapeli unaendelea uraiani na unahusisha jina la Ikulu. Ikulu ya Jamhuri ya Muungano na Ikulu ya Zanzibar.

1. Utapeli Kwa kutumia jina la Rais wa Zanzibar.
Tapeli Mkuu anajiita Generali Charles Mwamwega anadai kuwa yeye ni Generali kamili Kwenye JWTZ maana mwaka Jana alikuwa na cheo Cha Luteni Generali. Huyu Generali Charles Mwamwega anadai yeye ni Katibu kwenye Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar. Ila ukienda kwenye data base ya JWTZ hakuna jina lake, Generali ni mmoja tu Generali Jacob Nkunda. Hata Hilo jina lake halipo kwenye data base ya jeshi na bado anaendelea kutapeli watu Kwa jina la Rais wa Zanzibar.

Namba ya simu anayotumia ni namba ya Airtel yenye jina Mwinyi Hassan 0788216770. Hii namba ndio anatumia kutapeli watu akidai yeye yupo karibu na Rais Mwinyi Kama Katibu wake hivyo anatumia Namba ya Rais. Na Cha kushangaza kwenye mawasiliano ya huyo Generali Mwamwega na wahanga wake huwa anawajulisha kuwa ongea na Rais, Ina maana Hawa wahanga huongea na mtu anayejitanabaisha Kama Rais wa Zanzibar Hassan Mwinyi na kuingia kwenye mtego wa utapeli . Hivyo pesa nyingi zimetumwa kwenye hiyo namba ya Mwinyi Hassan.

Cha kushangaza Ikulu ya Zanzibar ipo kimya pamoja na malalamiko yote yanayoendelea. Hili suala lishafika kwa RCO Temeke na kwa wapelelezi mbali mbali , ila wapo kimya na wameamua kuwaacha wahanga wakitapeliwa bila msaada wowote.

Katika upelelezi wangu nimegundua ya kwamba huyu Generali Mwamwega na Egron Rweyemamu ni mtu mmoja. Maana pesa zinatumwa kwa wote Generali Mwamwega na pia Egron Rweyemamu, na ukipiga simu ya Generali Mwamwega anayeongea ni huyo Egron Rweyemamu.

Ushahidi kutoka kwa mhanga mmoja huu hapa.

Pesa zilizotumwa kwa

O788216770 MWINYI HASSAN

MC EGLON RWEYEMAMU EQUITY BANK ACC No 3010111780864

Tarehe 5/10/2022.
Alituma 8,700,000 Tshs kwa Mwinyi Hassan O788216770.

Tarehe 11/10/2022.
Alituma 4,900,000 Tshs kwa MC EGLON RWEYEMAMU EQUITY BANK ACC No 3010111780864

Alituma 2,065,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

Tarehe 25/10/2022.
Alituma 2,000,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

Tarehe 4/11/2022.
Alituma 300,000 kwa Mceglon Rweyemamu

Tarehe 15/11/2022
Alituma 800,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770
Tarehe 14/11/2022
Alituma 500,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

Tarehe 20/11/2022
Alituma 200,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

Tarehe 24/11/2022
Alituma 500,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

Tarehe 30/11/2022
Alituma 300,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

Tarehe 7/1/2023
Alituma 1,900,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

Tarehe 15/1/2023
Alituma 200,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

Tarehe 16/1/2023
Alituma 1,600,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

Tarehe 16/1/2023
Alituma 2,000,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

Tarehe 16/1/2023
Alituma 1,000,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

Tarehe 15/2/2023
Alituma 3050,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

Tarehe 3/3/2023
Alituma 1,600,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

Tarehe 13/3/2023
Alituma 1,210,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

Tarehe 31/3/2023
Alituma 1,000,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

Tarehe 1/4/2023
Alituma 150,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

. Tarehe 3/4/2023
Alituma 290,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

21. Tarehe 7/4/2023
Alituma 500,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770
22. Tarehe 7/4/2023
Alituma 250,000 kwa Mc Eglon Rweyemamu 0766447244

23. Tarehe 18/4/2023
Alituma 500,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

24. Tarehe 7/4/2023
Alituma 400,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

25. Tarehe 8/5/2023
Alituma 1,000,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

26. Tarehe 28/6/2023
Alituma 4,950,000 kwa Mwinyi Hassan O788216770

27. Tarehe 19/12/2023
Alituma 2,000,000 kwa Mc Eglon EQUITY BANK ACC No 3010111780864

28. Tarehe 21/12/2023
Alituma 11,000,000 kwa Mc Eglon EQUITY BANK ACC No 3010111780864

29. Tarehe 22/12/2023
Alituma 2,300,000 kwa Mc Eglon EQUITY BANK ACC No 3010111780864

JUMLA 54,465,000

Huo hapo juu ni ushahidi wa mhanga mmoja wa Generali Mwamwega kwa kutumia jina la Rais Mwinyi na Ikulu Zanzibar. Na Cha kushangaza pamoja na vyombo vya Dola kutaarifiwa vipo Kimya.

Niseme ukweli , ni aibu sana jina la Rais wa Zanzibar kutumika kwenye utapeli na hakuna hatua inachukuliwa . Hii ni hatari Sana.

2. Pia wametumia jina la Waziri Mkuu kutapeli watu kuhusu kutoa Magari bandarini.

Ushahidi huu hapa.

SMS YA Tarehe 3/12/2022 Saa 18:28
Habari za muda tena, Waziri Mkuu anaomba muwasiliane. Shukrani.

SMS YA Tarehe 3/3/2023 Saa 23:02
Ombi langu kwako na watu waliopo nje ya hospitali hapa naomba sana mnisaiidie niondoke mahali hapa nimepata kuongea na Mh Waziri Mkuu kwa kifupi akanielekeza kwako, basi nakuomba sana unisaidie nitoke hapa sina huduma tena hapa niko hapa tuu kwakuwa sijalipa basi.

SMS YA Tarehe 12/4/2023 Saa 15:25
Kweli kabisa ila naona Mh Waziri Mku ametuma pendekezo na naona ni jema kabisa wewe unalionaje?

SMS YA Tarehe 28/6/2023 Saa 13:04
Sawa nmeona, isipokua gharama alisema Mh Majaliwa kwamba atashughulikia nusu hivyo inapungua 420,000. Asante.

Hizo SMS hapo juu ni kuonesha ya kwamba huyo tapeli anatumia jina la Waziri Mkuu kutapeli. Hapo alikuwa anaomba pesa ya matibabu na nyingine anadai Waziri Mkuu atamlipia nusu ya pesa ya kutoa gari.

3. Tatu huyo Tapeli anatumia jina La Rais Samiah kutapeli.

Ushahidi huu hapa.

SMS YA Tarehe 13/3/2023 Saa 15:09
tafadhali wasiliana na Mh Rais, asante

Kuhusu hili la kuwasiliana na Rais naomba nilitunze Kwa Sasa.

Ombi langu ni Ikulu itoke ikanushe hili jambo haraka iwezekanavyo la sivyo lotachafua image ya Ikulu na Rais.
Ndugu mbona unadai kitu kinachohitaji uelewa wako mwenyewe? Ikulu ikanushe nini kwa jambo linahitaji akili yako kujua nani ni msaidizi wa Rais, anaonekanaje, majukumu yake nk.. pili ukituma pesa kwa motive ya kufanya jambo kupitia njia haramu "rushwa" na wewe ni mhalifu! haihitaji kudai ikulu ikanushe..nenda Polisi! hata hilo unataka ufundishwe? Polisi ndio watakusaidia nini cha kufanya..
 
Back
Top Bottom