IGP mtimue au mfute kazi RPC wa Dodoma ikikupendeza

Nitazibeba moyoni....

1) Binadamu wote ni sawa

2)Kila mtu ANASTAHILI HESHIMA YA KUTAMBULIWA NA KUTHAMINIWA UTU WAKE


Ewe Mwenyezi Mungu mlaze mahali pema peponi mwenye heri wa taifa letu hayati Julius K.Nyererere ,aaamin aaamin[emoji7]

#JMT milele dumu
 
Namimi nawashngaa Sana?? Kwahyo kama dogo NI Malay* anajiuza asiseme?
 
Wewe lazima unatoka familia yenye fikra duni sana. Hiyo mindset tu inaonesha jinsi ulivyo mkuda. Kubakwa au kuchangiwa kwa mwanamke mmoja ni "incest" hata kimila, sasa mwanamke kubakwa hadi kuzirai ni incest na vile vile ni jinai, na ukosefu kwa human rights kwa mwanamke. Yaani hiyo nchi inayo-condone hilo ni nchi ambayo duniani haipo labda Tanzania tu. Kama kama huyu jamaa hafukuzwi kazi within 24 hrs basi hiyo ndiyo inaonyesha mindset ya watawala.
 
Naafiki
 
Huyo Polisi katoa tafsiri ya kisheria na neno "kahaba" what qualifies somebody kuwa kahaba? Tunajua wanajeshi wanapata mafunzo na kula kiapo ndio wanaitwa wanajeshi. Ili haki itendeke na kubalance atafisiri nini maana ya kahaba na kaprove vipi na kwa nini mke wake au mama yake au mwanamke mwingine yoyote sio kahaba kwa muktadha huo. Kuna cheti? Who determines this?
 
Sasa ujamaa na Polisi wa nini? Wema wapo wachache sana tena wanafanyakazi za kitaaluma jeshini na wala hawavai migwanda yao yenye laana.
Kazi ya laana hiyo toka zamani.
Hata Biblia inasema👇👇👇

Luka 3
14 Askari nao wakamwuliza, wakisema, Sisi nasi tufanye nini? Akawaambia, Msidhulumu mtu, wala msishitaki kwa uongo; tena mtoshewe na mshahara wenu.
 
Sijui kama binti wa Yombo angekuwa mwanaye RPC au ndugu yake au mtoto wa boss wake je angezungumza namna hiyo
 
Anastahili kuwa nje ya ofisi kabisa
 
Iko wapi hiyo taarifa?
 
Kahaba hana haki ya kulindwa?
Wavuta bhangi wanaruhusiwa kubaka?.
Yeye ana mamlaka ya kutoa hukumu ya kesi au kufanya upelelezi?
 
Tueleze ukahaba wake umesaidia nini kwenye upelelezi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…