Uchaguzi 2020 IGP Simon Sirro akutana na Wadau wa Uchaguzi 2020, aitaja JamiiForums na Mitandao mingine kama changamoto ya Uhalifu wa Kimtandao sababu ya Teknolojia

Mbona unanitisha???? Tabia zenu hizo za kutisha watu ndo zinasababisha mpaka mkose public support saivi na still hamjifunzi!!

Kwani kuna shida gani CCM kuwa Chama cha Upinzani ndugu????
Mapenzi ya Mungu ikitokea ni sawa lakini acha kutegemea backup ya mabeberu hao kazi yao ni kubomoa tu.
 
Mapenzi ya Mungu ikitokea ni sawa lakini acha kutegemea backup ya mabeberu hao kazi yao ni kubomoa tu.
Nani kakwambia kazi yao ni kubomoa tu??? Wanabomoaje??? Kwanza ukiambiwa ubeberu unaelewaje??? Mabeberu ni kina nani kwa uelewa wako???Labda tuanzie hapo nikuelimishe
 
Hahahahaha Siro ni tv remote control ipo chamwino

Nnaungana na wewe Mkuu ,ameyasema tu ili kujaribu kuweka usawa flani.Yamesha tokea mengi aliuwawa Akwilina (R.I.P.) hapa kwa Sababu ya utaratibu mmbaya wa Tume na ujangili wa Jeshi la Polis.Yalivyo ishia sote tulishuhudia Haki ya yule Binti imemezwa na wauaji.
 
Nani kakwambia kazi yao ni kubomoa tu??? Wanabomoaje??? Kwanza ukiambiwa ubeberu unaelewaje??? Mabeberu ni kina nani kwa uelewa wako???Labda tuanzie hapo nikuelimishe
Hakuna haja ya kunielimisha, jenga nchi yako chagua maneno ya kuweka mitandaoni, tambua impact of social media na vyombo vingine vya habari.
 
Amezungumzia kuchomwa moto kituo cha mafuta, ila hakuzungumzia ofisi za Chadema za Arusha na Mbeya!
 
Hakuna haja ya kunielimisha, jenga nchi yako chagua maneno ya kuweka mitandaoni, tambua impact of social media na vyombo vingine vya habari.
Hujui utawala wa haki na demokrasia ni moja ya misingi mikuu katika kujenga nchi bora?

Mie ninapigania utawala wa haki na demokrasia!! Au wewe unaelewaje katika dhana ya kujenga nchi?
 
Hujui utawala wa haki na demokrasia ni moja ya misingi mikuu katika kujenga nchi bora????

Mie ninapigania utawala wa haki na demokrasia!! Au wewe unaelewaje katika dhana ya kujenga nchi???
Ngoja niishie hapa, be alerted.
 
Kama yanatoka rohoni, basi malaika amemtokea! Wakatoliki waliobarikiwa, huwa tunatokewa na malaika, Bikira maria, Yesu anakupa baraka! Basi siro ametokewa na malaika
 
Ngoja niishie hapa, be alerted.

Jifunze ndugu!! Ubabe haujengi!!! Hivyo vitisho vyako kawatishe ndugu zako na familia yako.

Jifunzeni kuishi kwenye dunia ya wastaarabu. Usione watanzania wanajazana kwa maelfu kumshabikia Lissu wamewaona hamfai kuwaongoza kutokana na tabia zenu hizi!

Mtauwa wangapi??? Mtateka wangapi???? Mtapoteza wangapi?

Yaani umezidi kujidhalilisha humu mbele ya watu. Na kwa tabia hizi ndo mtegemee magufuli apendwe??? CCM ipendwe???? Thubutuu!!!
 
IGP amenusa nn mara hii.....

Simamieni haki sio amani
 
Unadhani kujaa kww watu kwenye msiba inamaana yakwamba marehemu anapendwa sana.. wengine ni wanafiki tu, wengine hawapendi kupitwa na jambo,wengine washamba, wengine wezi. Akili zenu mnadhani wote wamejiandikisha kupiga kura.

Mafuriko ya lowasa uli yaona?

Halafu usipende kutukana third party na kuhukumu kwamba wauaji, watekaji wakati huna uhakika.

I'd fake haitakusaidia chochote.
 
Endelea kujitoa ufahamu tu!!

Labda nikuulize, upelelezi wa issue ya Lissu kupigwa risasi umefikia wapi??? Nani na nani wamehojiwa???
 
Uwa wao ndio wanajiingiza kwenye matatizo wenyewe kwa tamaa na njaa zao zisizokuwa na kikomo. Kwani Tume ndio iliyowaagiza wawasindikize wale vijana waliotumwa na Mkuu wa Wilaya ya Hai kufanya fujo kwenye msafara wa Lisu Kilimanajaro?
 
Endelea kujitoa ufahamu tu!!

Labda nikuulize, upelelezi wa issue ya Lissu kupigwa risasi umefikia wapi??? Nani na nani wamehojiwa???
Upelelezi hautolewi wazi hadharani ovyo ovyo, ikifika wakati muafaka kila kitu kitawekwa wazi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…