Joselela
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 6,109
- 8,080
Mapenzi ya Mungu ikitokea ni sawa lakini acha kutegemea backup ya mabeberu hao kazi yao ni kubomoa tu.Mbona unanitisha???? Tabia zenu hizo za kutisha watu ndo zinasababisha mpaka mkose public support saivi na still hamjifunzi!!
Kwani kuna shida gani CCM kuwa Chama cha Upinzani ndugu????