Uchaguzi 2020 IGP Simon Sirro akutana na Wadau wa Uchaguzi 2020, aitaja JamiiForums na Mitandao mingine kama changamoto ya Uhalifu wa Kimtandao sababu ya Teknolojia

..ccm hamuwezi kutuelewa.

..wapinzani tuna jambo letu tunataka kuzungumza na IGP.

.."kiatu usichokivaa hujui kinabana vipi."
Hilo ndilo tatizo lako. Hivi kwa mawazo yako unafikiri Chadema wanaweza kupewa ridhaa na Watanzania kuongoza wakati hiki chama hakiwezi kuweka democracy kwenye uongozi wake?

Ati mna jambo lenu unafikiri Tanzania ni ya wapinzani peke yao? (Je, sisi jambo letu?) IGP yupo pale kuona kwamba anatimiza kazi yake kwa mujibu wa sheria na kanuni ambazo ndio zinakubalika na kufuatwa na vyama vyote pamoja na raia wake. Hivi unaona ni haki kweli jinsi hii Sacos ie Chadema inavyoendeshwa? You guys are dreaming, Wacha JPM awanyooshe, mkiambiwa hivyo mnachukia kwa sababu mnaangalia matumbo yenu zaidi.


BTW huo ndio ukweli wenyewe mchungu kama pili pili manga. It should not be about Chadema or CCM but Tanzania as a country.
 

..Tanzania ni ya waTz wote.

..kwa hiyo itapendeza kama IGP atakutana na wadau wengi zaidi wa uchaguzi.
 
..Tanzania ni ya waTz wote.

..kwa hiyo itapendeza kama IGP atakutana na wadau wengi zaidi wa uchaguzi.
Correct me if I am wrong, kwa sababu uchaguzi hufanyika kila baada ya miaka mitano nafahamu Jeshi la Polisi pamoja na taasisi nyingine za ulinzi huwa zinajipanga kuona kwamba uhalifu wa aina yoyote ile katika uchaguzi haujitokezi. Hii ni pamoja na taasisi mbali mbai za nje na ndani kuona kwamba jamii haidhulumiwi haki yake ya kuamua. Je, una ushahidi kwamba IGP hafanyi kazi yake sawa sawa kama ilivyoidhinishwa kwenye wajibu wake hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi?
 

..Yote uliyoyasema yako sahihi 100%.

..nimemuona IGP akifanya vikao mbalimbali na wadau wa siasa na uchaguzi mkuu.

..mimi namshauri asisahau kukutana na wadau wa vyama vya upinzani nchini.

..Tanzania ni yetu sote.
 
..Yote uliyoyasema yako sahihi 100%.

..nimemuona IGP akifanya vikao mbalimbali na wadau wa siasa na uchaguzi mkuu.

..mimi namshauri asisahau kukutana na wadau wa vyama vya upinzani nchini.

..Tanzania ni yetu sote.
Wewe kama kinara wa chama cha upinzani hukuhudhuria hivyo vikao au wasaidizi wako?
 

Ushauri mujarabu sana. Ila sioni IGP akitekeleza ushauri huu, maana kimsingi akikutana na viongozi wa upinzani atajikuta anatakiwa asimamie haki jambo ambalo haliwezi. Ingekuwa anasimamia haki huu ushauri wako angeufanyia kazi.
 
We kama nani unamshauria humu jamvini? ofisi yake huijui? nenda ofisini kwake bana! usituchoshe humu
 
Wewe kama kinara wa chama cha upinzani hukuhudhuria hivyo vikao au wasaidizi wako?

..nashauri kikao mahsusi kati ya IGP na vyama vya upinzani.

..naamini akifanya hivyo itasaidia sana uchaguzi wetu kufanyika vizuri na kila upande ukaridhika.

..na ni lazima kuwe na masikilizano na mashauriano ya mara kwa mara mpaka uchaguzi utakapoisha.

..tufungue UKURASA MPYA.
 
Ni wazo zuri sana lakini yesu fake atamtimua. Kumbuka mtoto wa Sokoine Joseph Sokoine aliyekuwa balozi wetu kule Belgium ambaye yesu fake alimpa demotion kubwa kwa kosa la kwenda kumjulia hali Lissu alipokuwa amelazwa hospital.

Hivi ni kweli ZERO hasikii kauli za uvunjifu wa amani za maccm!? Mbona hazikemei kauli hizo!? 😳

 

BTW Unataka kuniambia chombo kilichodhaminiwa kusimamia uchaguzi huu hakifanyi kazi yake kwa mujibu wa sheria? ie mikutano na pande zote zinazoshiriki kwenye uchaguzi huu? Je, unataka kuniambia kwamba kwa nyinyi kukutana na IGP ndio itakuwa suluhisho? Je, Chombo kinachoshughulikia huu uchaguzi hamtaki kukutana nacho? Mnamtaka IGP tu?
 

.."penye wengi hapaharibiki neno."

..nashauri vikao kati ya IGP na vyama vya upinzani.

..vikao kati ya kamati ya amani ya viongozi wa dini na vyama vya upinzani.

..vikao kati ya tume ya uchaguzi na vyama vya upinzani.

..hata chama tawala na vyama vya upinzani itapendeza wakizungumza hivi tunavyoelekea ktk uchaguzi.

..Tanzania ni yetu sote.
 
Aliulizwa kuhusu kauli za Musiba kama ni za uchochezi au la , akaufyata
 
Reactions: BAK
Mkuu lakini hujanijibu hoja niliyouliza? Nyinyi kama Chadema mmehudhuria vikao vingapi so far? Kama hamjahudhuria ni kwa nini?
 
Mkuu lakini hujanijibu hoja niliyouliza? Nyinyi kama Chadema mmehudhuria vikao vingapi so far? Kama hamjahudhuria ni kwa nini?

..tufungue UKURASA MPYA.

..tuitunze AMANI yetu.

..Tanzania ni yetu sote.
 
Mkuu huwezi kuitunza amani kwa UNDUMILAKUWILI haiwezekani KAMWE.


 
Kuna amani kweli kwenye kauli kama hizi za kuminya UHURU na HAKI ya vyombo vya habari? Hata kumhoji Lissu wanaogopa, magazeti hata kuandika habari zake yanahofia.


 
Hivi huwa mnafuatilia matukio au mmerogwa?,siku Siro anaongea hukuona viongozi wa vyama vya upinzani ?,pathetic
 
Hivi huwa mnafuatilia matukio au mmerogwa?,siku Siro anaongea hukuona viongozi wa vyama vya upinzani ?,pathetic
Tatizo washabiki wengi wa Chadema elimu yao ni ya kuunga unga tu.. Huwezi leo hii ukapayuka tu ati demokrasia inaminywa wakati nchi hii inatawaliwa kufuata katiba ya JMT. Hizi akili za kushikiliwa mwisho wake ni pale ufipa tu.
 
Hivi huwa mnafuatilia matukio au mmerogwa?,siku Siro anaongea hukuona viongozi wa vyama vya upinzani ?,pathetic

..asante sana kwa mchango wako.

..kilikuwa ni kikao cha wadau wengi, wakiwemo tume, viongozi wa dini, etc.

..baada ya kikao hicho IGP amekutano na viongozi wa dini wa kamati ya amani.

..sasa ninachopendekeza mimi ni kikao cha IGP na vyama vya upinzani.

..ni vizuri IGP akajenga mahusiano na vyama vya upinzani, kama ambavyo ana mahusiano ya karibu na serikali na chama tawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…